Kwako Single Mother, naomba nafasi tulee huyo mtoto, nitakuwa baba bora mwenye upendo hutoamini

Ujue watu huwa wanamuomba Mungu awaepushe na Majaribu... Sasa na wewe usiwatie watu Majaribuni...
 
Dah mkuu asante kwa kuniwakilisha vyema. Ila nimecheka sana.. you are my true brother. cc ......(anajijua). Mrejesho wiki ijayo. Watu wanaidharau JF upande wa mahusiano. Hawajui (in Fid Q's track voice: August 13)
Wanaidharau sababu matani mengi na kejeli pia. Umeeleza vizuri haja ya moyo wako lakini wapi watakaokuja na matani. Kila la heri Mkuu!
 
Dah mkuu asante kwa kuniwakilisha vyema. Ila nimecheka sana.. you are my true brother. cc ......(anajijua). Mrejesho wiki ijayo. Watu wanaidharau JF upande wa mahusiano. Hawajui (in Fid Q's track voice: August 13)
Tukaze uzi muishangaze dunia inshallah Mungu atajaalia! Anayeidharau JF huyo bado hajajitambua
 
Mkuu mungu akujari uendelee kuwa na moyo huo huo! ni miongon mwa watu wachache sana wenye mioyo hiyo!
 
nimelipenda kwa kuwa na ufahamu mpana
 
Unataka ugundue nn mjomba single mother ni hatar sanaa weka mbal na watoto.ila labda mm nahc ww jogoo linawika ila sperms mbovu xo unatafta kichaka uzibe aibu sabb kwa m2 kweny akil timamu huwez panga kuoa single mother labda itoke2 tyuu siku umegonga au kukutana nae ukanogewa nae ndo ukaoa ila sio kihivyo unavyopanga ww unless you are kidding
 
 
ngoja waje in box ila usiwachole ukawasababishia maumivu ya ndani
 
njoo in box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…