Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichonileta humu ni kutoa langu la moyoni kwa yeyote ambae nafsi yake itaguswa na hitaji langu. Natumaini ninayo haki kikatiba, kidini na kijamii kuchagua aina ya mwenza ambaye nafsi na moyo wangu havitakuja kupungukiwa na upendo juu yake pamoja na wote anaowaheshimu na kuwathamini katika maisha yake.
Natafuta Single Mother (mwanamke aliyezaa mtoto/watoto lakini hajaolewa: Yamkini aliolewa akatoka kweye ndoa au alizaa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Ieleweke kuwa mimi sina matatizo yoyote ya kiuzazi na ni mwanaume rijali mwenye heshima ndani ya jamii inayonizunguka, najitegemea na ni mlipa kodi serikalini.
Pia ieleweke kuwa ninatambua kuna sehemu za ibada, mtaani na hata kazini ambapo ningeweza kutafuta mwenza ninayemtaka, lakini JamiiForums binafsi nina iheshimu kwasababu wanachama sio maroboti, ni watu hao hao walio kwenye jamii nilizozitaja hapo juu. Kwahiyo nina imani 100% kuwa nitampata mwenza wa sifa niliyoitaja.
Mwanamke huyo nitampenda kabisa kwa hali zote bila kujali amekubali tuoane au tubaki kwenye uhusiano wa kawaida. Pia mtoto/watoto wake nitawapenda hatoamini, na wala sitakuwa na kinyongo juu ya mwenza wangu kuwasiliana na baba wa watoto (wa damu), na tutamkaribisha kuwa anakuja kuwasalimia (kama mwenzangu akitaka).
Akili yangu imejawa na mawazo safi na chanya, hivyo siamini kuhusu baba wa damu kuendeleza uhusiano wa kimapenzi wakati halei watoto, au hata kama analea (ina maana tutakuwa sasa tunasaidiana kulea), nadhani ataniheshimu mimi kama mume halali wa huyu mwanamke.
Kama ni wewe ndio mke wangu mtarajiwa (Single Mother) au kuna Single Mother unamfahamu, tafadhari njoo inbox kwa maongezi zaidi.
Asante JamiiForums.
N.B. Nadhani nimejieleza vyema na sitarajii Interview (maswali yasio na mwelekeo wa swala langu au kejeli). Ni vizuri ukaja inbox kama una hoja, unless you are a potential Single Mother unaehitaji nikufafanulie zaidi.
Msema kweli mpenz wa mungu
He mean it! Try it..yeye si mpitanjia trust meTsup, hope yo ok, what u posted real comes from yo heart! I am a mother of a 6 month son! Out of relationship!!!
JF ni mahali wanapokutana wengi kwa cheo cha great thinkers! Wanaoingia huku ni wale ambao wanajitambua tayari kwahiyo inapotokea ishu kama hii yenye uhalisia tupunguze utani tafadhali
Kilichonileta humu ni kutoa langu la moyoni kwa yeyote ambae nafsi yake itaguswa na hitaji langu. Natumaini ninayo haki kikatiba, kidini na kijamii kuchagua aina ya mwenza ambaye nafsi na moyo wangu havitakuja kupungukiwa na upendo juu yake pamoja na wote anaowaheshimu na kuwathamini katika maisha yake.
Natafuta Single Mother (mwanamke aliyezaa mtoto/watoto lakini hajaolewa: Yamkini aliolewa akatoka kweye ndoa au alizaa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Ieleweke kuwa mimi sina matatizo yoyote ya kiuzazi na ni mwanaume rijali mwenye heshima ndani ya jamii inayonizunguka, najitegemea na ni mlipa kodi serikalini.
Pia ieleweke kuwa ninatambua kuna sehemu za ibada, mtaani na hata kazini ambapo ningeweza kutafuta mwenza ninayemtaka, lakini JamiiForums binafsi nina iheshimu kwasababu wanachama sio maroboti, ni watu hao hao walio kwenye jamii nilizozitaja hapo juu. Kwahiyo nina imani 100% kuwa nitampata mwenza wa sifa niliyoitaja.
Mwanamke huyo nitampenda kabisa kwa hali zote bila kujali amekubali tuoane au tubaki kwenye uhusiano wa kawaida. Pia mtoto/watoto wake nitawapenda hatoamini, na wala sitakuwa na kinyongo juu ya mwenza wangu kuwasiliana na baba wa watoto (wa damu), na tutamkaribisha kuwa anakuja kuwasalimia (kama mwenzangu akitaka).
Akili yangu imejawa na mawazo safi na chanya, hivyo siamini kuhusu baba wa damu kuendeleza uhusiano wa kimapenzi wakati halei watoto, au hata kama analea (ina maana tutakuwa sasa tunasaidiana kulea), nadhani ataniheshimu mimi kama mume halali wa huyu mwanamke.
Kama ni wewe ndio mke wangu mtarajiwa (Single Mother) au kuna Single Mother unamfahamu, tafadhari njoo inbox kwa maongezi zaidi.
Asante JamiiForums.
N.B. Nadhani nimejieleza vyema na sitarajii Interview (maswali yasio na mwelekeo wa swala langu au kejeli). Ni vizuri ukaja inbox kama una hoja, unless you are a potential Single Mother unaehitaji nikufafanulie zaidi.
Asanteni.
Ushauri wangu kwenye hili...
Kwakuwa uko serious na hili replies zote zenye mwelekeo wa kebehi dhihaka na mabezo jitahidi kuzipotezea...jitahidi sana ili ufanikiwe
Mama Nani hii anapiga umbea tuu...Fursa, we mama nanini.. nafasi hiyo
he is my brother..... ashakujibu na yeye
Amekwambia hana hela?Tafta hela mkuu, single mother bila hela atakusumbua sana. Jipange.
Nisamehe bure kipenzi.......Hivi wewe mamito, namba yangu nilikupa ukapigie picha??? Mbona huntafuti sasa??? Heaven on Earth
Du! Kwa hiyo unamkuwadia mpenzi wako ili nini?Ngoja ni ku PM namba za masingle mama wa mtaani kwetu, kuna kadada fulani hivi kana mtoto mmoja wa miaka minne, mdada bado mbichi kabisa, asipokwambia kuwa na mtoto unaweza fikiri bado ni mwana mwali, nyonyo bado imesimama powa tu, mambo ya sita anayajua kiasi si saaana, tundu linabada vizuri sana kama hajashusha vile( nimemtumia mara mbili tu)
Sio mpenzi wangu na wala hajawahi kuwa, nimesema nimewahi gonga.Du! Kwa hiyo unamkuwadia mpenzi wako ili nini?