dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
namtania shemeji.Usimvunjie heshima dada yangu. Tunaheshimiana sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namtania shemeji.Usimvunjie heshima dada yangu. Tunaheshimiana sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Singe mother wapo wengi sana. Yani hadi kufikia next year january watakuwa na forum yao
Asante charmingladyAll the best
he is my brother..... ashakujibu na yeyewewe huja-qualify?
Ok, kama unatumia Smart Phone, na kama unasoma huu ujumbe: bonyeza picha yangu (Profile photo), utaenda kwenye ukurasa una maneno mengi kunihusu...sasa wewe angalia palipoandikwa "Start conversation"...hapo utakutana na ukurusa wenye vitu viwili: Title - yaani uandike kichwa cha ujumbe, kisha chini yake ni eneo la kuandika ujumbe...kisha bonyeza "Send".Nitajitahidi vipi kuingia inbox na wakati nimekwambia sijiu nielekeze .
Angela usiwaze ngoja nikueleze maana waweza kua wifi yanguNitajitahidi vipi kuingia inbox na wakati nimekwambia sijiu nielekeze .
au wewe fanya kumtumia ujumbe au namba kabisa kwa private messageOk, kama unatumia Smart Phone, na kama unasoma huu ujumbe: bonyeza picha yangu (Profile photo), utaenda kwenye ukurasa una maneno mengi kunihusu...sasa wewe angalia palipoandikwa "Start conversation"...hapo utakutana na ukurusa wenye vitu viwili: Title - yaani uandike kichwa cha ujumbe, kisha chini yake ni eneo la kuandika ujumbe...kisha bonyeza "Send".
ok nimekuelewa usikwazike basi fikra hazifanani.Mkuu, in common sense, bibi ana wajukuu...mimi nimesema mtu mwenye mtoto/watoto. Sijui tumeelewana!?