Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaSinge mother wapo wengi sana. Yani hadi kufikia next year january watakuwa na forum yao
okhe is my brother..... ashakujibu na yeye
Kilichonileta humu ni kutoa langu la moyoni kwa yeyote ambae nafsi yake itaguswa na hitaji langu. Natumaini ninayo haki kikatiba, kidini na kijamii kuchagua aina ya mwenza ambaye nafsi na moyo wangu havitakuja kupungukiwa na upendo juu yake pamoja na wote anaowaheshimu na kuwathamini katika maisha yake.
Natafuta Single Mother (mwanamke aliyezaa mtoto/watoto lakini hajaolewa: Yamkini aliolewa akatoka kweye ndoa au alizaa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Ieleweke kuwa mimi sina matatizo yoyote ya kiuzazi na ni mwanaume rijali mwenye heshima ndani ya jamii inayonizunguka, najitegemea na ni mlipa kodi serikalini.
Pia ieleweke kuwa ninatambua kuna sehemu za ibada, mtaani na hata kazini ambapo ningeweza kutafuta mwenza ninayemtaka, lakini JamiiForums binafsi nina iheshimu kwasababu wanachama sio maroboti, ni watu hao hao walio kwenye jamii nilizozitaja hapo juu. Kwahiyo nina imani 100% kuwa nitampata mwenza wa sifa niliyoitaja.
Mwanamke huyo nitampenda kabisa kwa hali zote bila kujali amekubali tuoane au tubaki kwenye uhusiano wa kawaida. Pia mtoto/watoto wake nitawapenda hatoamini, na wala sitakuwa na kinyongo juu ya mwenza wangu kuwasiliana na baba wa watoto (wa damu), na tutamkaribisha kuwa anakuja kuwasalimia (kama mwenzangu akitaka).
Akili yangu imejawa na mawazo safi na chanya, hivyo siamini kuhusu baba wa damu kuendeleza uhusiano wa kimapenzi wakati halei watoto, au hata kama analea (ina maana tutakuwa sasa tunasaidiana kulea), nadhani ataniheshimu mimi kama mume halali wa huyu mwanamke.
Kama ni wewe ndio mke wangu mtarajiwa (Single Mother) au kuna Single Mother unamfahamu, tafadhari njoo inbox kwa maongezi zaidi.
Asante JamiiForums.
N.B. Nadhani nimejieleza vyema na sitarajii Interview (maswali yasio na mwelekeo wa swala langu au kejeli). Ni vizuri ukaja inbox kama una hoja, unless you are a potential Single Mother unaehitaji nikufafanulie zaidi.
Asanteni.
Amina.Kama unalifanya hili kwa nia njema na iwe kheri kwako na kwenye mipango yako.......!!
Ila kama unafanya hili kwa malengo mabaya au kudhihaki....laana ya kila chozi la atakayelia kwa ajili yako ikuandame wewe na kizazi chako......
Amen......
Asha sema ni mlipa kodi maana take ni tayari ana helaTafta hela mkuu, single mother bila hela atakusumbua sana. Jipange.
WEWE NI SHIDA KWELI,UNAMUUZIA MWENZIO USED ,AJE AKULAUMU BAADAE....HAHAHAHAHANgoja ni ku PM namba za masingle mama wa mtaani kwetu, kuna kadada fulani hivi kana mtoto mmoja wa miaka minne, mdada bado mbichi kabisa, asipokwambia kuwa na mtoto unaweza fikiri bado ni mwana mwali, nyonyo bado imesimama powa tu, mambo ya sita anayajua kiasi si saaana, tundu linabada vizuri sana kama hajashusha vile( nimemtumia mara mbili tu)
"siyo kweli nyakati zote huwa hivyo,gusa unase"Uziri wa single mother wengi wanajielewa na wanayajua maisha na hawataki kurudia makosa yao! Hivyo wanafaa kuwa wake!
Tangu niliposoma ule uzi unaohusu watoto waliolelewa bila baba walivyoathirika kisaikolojia na jinsi walivyo na chuki na baba zao nimekuwa sina pingamizi la kumuoa single mother ili mradi tunapendana for the sake of the child
ureNimekuelewa mkuu, lakinj naona dhihaka juu ya Single mothers kwa mbaaali sana.
Kama unalifanya hili kwa nia njema na iwe kheri kwako na kwenye mipango yako.......!!
Ila kama unafanya hili kwa malengo mabaya au kudhihaki....laana ya kila chozi la atakayelia kwa ajili yako ikuandame wewe na kizazi chako......
Amen......
huyo uliemtaja alikwambia anatafuta mpenzi??????Sister,kajitokeza mtu hapa ukikosa nafasi usije ukasema sikukupa taarifa.