Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Heri ya mwaka mpya!!
Odo Ummy wakati unatembelea hospital huko Dar bas huku tanga hospital ya mkoa, hospitali ya Bombo ni jipu.
Nieleze kisa kifupi, mwezi ulioisha tulikua na mgonjwa, ni mama mjamzito uzuri alijifungua kwa uzur kabisa shida inakuja hio bill,
Wanabambikia watu mnoo yani kilichotukuta mgonjwa wetu alipewa list ya dawa jumla kwahapo bombo ni elf 70 tukaambizana tujaribu maduka ya nje tulinganishe bei kwenye unafuu tununue ajabu maduka ya nje ni elf 6 tu kituko kingine ni mgonjwa wetu kuandikiwa dawa za presha bila kupimwa presha tuseme tu Mungu alikua upande wetu kuna nesi akampokonya kikaratas chenye hizo dawa akamwambia huna presha hio baada ya kumpima sasa la ajabu ni kubambikia watu bills na dawa kilamuda ili mradi uzidi kulala hapo wao wachaji pesa za kitanda
Tunaomba ufanye ziara hapo hospitaliñi uokoe wananchi wa jimbo lako.