Kwako Unayetafuta Kazi Zingatia Haya!

Kwako Unayetafuta Kazi Zingatia Haya!

Mtangoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
6,167
Reaction score
5,613
Nimeona wengi wakiwa desperate wakitaka kazi, lakini mabandiko mengi yamekaa kihuni sana. Ni vigumu kupata kazi kama tu first impression itakuwa ni mhuni fulani hivi. Kwa sababu kizazi cha xoxo kimekuwa na mtindo wa kudharau vitu vya msingi kwa pretext ya "Usi complicate maisha", nimeona niwasaidie vijana na wanetu hawa. Lakini pia uzi huu unaweza kuwa msaada kwa mtu yeyote mwingine ambaye anatafuta kazi na anataka kufanya mambo kwa weledi

Yafuatayo kwa ufupi sana ni mambo muhimu kukuongezea nafasi ya kupata kazi
1. Usitumie akaunti iliyokaa kihuni. Unakuta mtu ana akaunti ambayo imekaa kihuni kihuni tu. Jina la kihuni, au hata halieleweki. Avatar anavuta bangi, signature ina vitu kiba inappropriate. Yaani sahau kupata kazi serious hata kama ni mtaalam kiasi gani. Picha atakayopata potential employer, ni ile uliyoichora kwenye avatar yako. Hata kama ni jina fake basi tafuta jina zuri, lenye maana fulani nzuri tu, weka avatar ya mtu anayejiheshimu na andika signature yenye vitu vya msingi.

2. Shiriki kwenye mijadala ya fani yako. Ukiwa bubu wa kuandika unaficha kipawa chako. Jaribu kushiriki mijadala ya fani yako kwa level uliyo nayo. Huko utakutana na opportunity. Unaweza kuta unajadiliana na mtu anayetafuta mhasibu au mwalimu. Ukichangia vitu postive halafu akalikuta tangazo lako la kazi, ni rahisi kukufikiria kwa sababu tayari ana angalau experience ya kujadiliana nawe.

3. Jadiliana na watu kwa nidhamu na heshima. Kuna watu inapokuja wakati wa kutafuta au kubadili kazi inabidi atumie akaunti mpya. Hii ni kwa sababu keshatukana watu wote aliotofautiana nao. Maisha ni kutofautiana. Ila hata pale unapotofautiana na mtu andika kwa staha. Mkosoe mtu kwa staha, na ukitanguliza nidhamu mbele kama tai. Mwajiri yeyote atapenda kuajiri mtu ambaye mnaweza kutofautiana asilimia 100 bila kutukanana au kugombana.

4. Jifunze vitu vingi nje ya fani yako. Unaweza kuta umesoma sociology lakini mjadala uliopo ni wa uhasibu. Jifunze mawili matatu kuhusu hiyo fani. Hujui hayo machache yatakusaidia wapi. Lakini pia kuna soft skills ambazo zinahitajika na kila fani. Jifunze hizo na anzisha au shiriki mijadala inayozihusu

5. Andika kama mtu anayehitaji kazi. Ni aghalabu sana kukuta hapa JF mtu ameandika kama kweli anaomba kazi. Unpotafuta kazi hakikisha bandiko lako limejitosheleza kwa taarifa ambazo sio identifying. Sema wewe ni nani, umesoma nini, umemaliza lini, unajua kufanya nini na nini bila kusaidiwa na unajua nini ambacho utahitaji kufundishwa ili uvifanyie kazi. Andika taarifa za kutosha kiasi cha mtu asiyekuhitaji asiulize. Hii itakusogeza hatua moja mbele kupata ajira. Usiandike tu kama kuku anatafuta sindano ambayo hajui hata kama ipo. Andika ukiwa na makusudi.

6. Andika kwa usahihi. Ukiandika vibaya vibaya hakuna mtu atakuchukulia serious, hata kama unajua mpaka unaumwa! Andika vizur kwa ufasaha. Kama kazi unayoihitaji inatumia kiingereza sana, basi andika kwa lugha hiyo. Hakikisha unapitia ulichokiandika kabla ya kutuma. Hii itampa picha mwajiri kama afuatilie zaidi au apotezee. Kunandika Xaxa, gdnite au ujinga mwingine, ujue hakuna atakayechukulia bandiko lako serious.

7. Onyesha una malengo gani na hii kazi. Moja kati ya tatizo la Watanzania ni kuwa professional normads. Yaani ndani ya miaka 3 amebadili kazi 6. Hapo average ni miezi sita kwa kila kazi. Hakuna mwajiri anataka ujinga huo. Kama unataka kukaa muda mfupi, onyesha kwenye bandiko lako. Kama unataka kukaa muda mrefu weka wazi pia. Usiwe vague kwenye nini kampuni watarajie toka kwako

8. Kama unataka kujitolea weka wazi namna unayotaka kujitolea. Je unatarajia kujilipia nauli na chakula au unatarajia upewe? Lakini pia unapojitolea kampuni inakupa ujuzi na maarifa. weka wazi wao watapata nini toka kwako? Je watakufundisha then ukiisha kujua unasepa kwenye green pasture? Au unatarajia kufanya nini? Wengi hudhani kujitolea unaipa favor kampuni au biashara inayokupa nafasi. Kimsingi wewe unayejitolea ndio mfaidika namba moja. Kwa hiyo washawishi watapata nini, baada ya wao kuwekeza kwao

Mambo yako mengi na wengine wataongezea, ila usidharau haya mambo ni muhimu sana!
 
Shukrani mkuu, ni kweli kumekuwa na changamoto ya kupata kazi hasa kipindi hiki na hii inachangiwa zaidi na mfumo wa elimu tulionao. Hauwaandai watu kuja kujiajiri na badala yake unawaanda watu kuajiriwa.Huwa nafurahi sana napoona watanzania wachache wenye kujitoa kuwaelimisha wengine ili waweze kufanikiwa. Mungu akubariki sana.
 
Mfumo wa elimu umefanyaje tena Mkuu?, Huu mfumo tumeusingizia sana. Yaani moment umegundua kuwa kuna kitu kinaitwa kujiajiri basi jua tatizo sio mfumo wa elimu bali sisi wenyewe Mkuu, trust me.

Ingekuwa msemo kujiajiri ni mgeni kabisa masikioni mwa wasomi basi tungesema mfumo wa elimu una shida ila ukweli ni kwamba elimu yetu inafundisha mambo yote ya msingi ili uweze kujitegemea.

Tatizo lipo sehemu tofauti sana. Linawezekana lipo kwenye uchumi au sera ya taifa kwa vijana, ila sio kwenye mfumo wa elimu hata kidogo.

Utakuta graduate anaona kufuatilia taarifa ya habari ni ushamba, au kusoma gazeti la Citizen, The Guardian, n.k ni ujinga/ushamba alafu baadae aalalamikia mfumo wa elimu.
 
Tatizo huku wengi wanajifanya wajuaji sana, niliwahi kuandika uzi wa kuomba kazi sasa kuna ng'ombe ikiona comments zangu majukwaa mengine anaanza kuniuliza kama nimepata kazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ng'ombe bhana
 
Mambo ya msingi sana, naunga mkono 100%!
 
Mfumo wa elimu umefanyaje tena Mkuu?, Huu mfumo tumeusingizia sana. Yaani moment umegundua kuwa kuna kitu kinaitwa kujiajiri basi jua tatizo sio mfumo wa elimu bali sisi wenyewe Mkuu, trust me.

Ingekuwa msemo kujiajiri ni mgeni kabisa masikioni mwa wasomi basi tungesema mfumo wa elimu una shida ila ukweli ni kwamba elimu yetu inafundisha mambo yote ya msingi ili uweze kujitegemea.

Tatizo lipo sehemu tofauti sana. Linawezekana lipo kwenye uchumi au sera ya taifa kwa vijana, ila sio kwenye mfumo wa elimu hata kidogo.

Utakuta graduate anaona kufuatilia taarifa ya habari ni ushamba, au kusoma gazeti la Citizen, The Guardian, n.k ni ujinga/ushamba alafu baadae aalalamikia mfumo wa elimu.

Ndugu, mfumo wa elimu pia una changamoto za kutosha na researches na studies kadhaa tena za hivi karibuni ambazo zinalithibitisha hili pasipo na shaka! Sema pia kuna other factors kama wahitimu wenyewe, labor market dynamics etc.
 
Shukrani mkuu, ni kweli kumekuwa na changamoto ya kupata kazi hasa kipindi hiki na hii inachangiwa zaidi na mfumo wa elimu tulionao. Hauwaandai watu kuja kujiajiri na badala yake unawaanda watu kuajiriwa.Huwa nafurahi sana napoona watanzania wachache wenye kujitoa kuwaelimisha wengine ili waweze kufanikiwa. Mungu akubariki sana.

Ni kweli, mfumo wa elimu ni moja ya changamoto katika kumwezesha kijana kuajiriwa hata kujiajiri! Mahitaji ya soko la ajira (Labor market needs+expectations) kwa upande mwingine haiendani na kile graduates wetu wanaweza kukitoa baada ya ku graduate! Nimeshiriki ktk makongamano mengi juu ya hili na kuna tafiti kadhaa zinazothibitisha juu ya ukweli huu!
 
Nimeona wengi wakiwa desperate wakitaka kazi, lakini mabandiko mengi yamekaa kihuni sana. Ni vigumu kupata kazi kama tu first impression itakuwa ni mhuni fulani hivi. Kwa sababu kizazi cha xoxo kimekuwa na mtindo wa kudharau vitu vya msingi kwa pretext ya "Usi complicate maisha", nimeona niwasaidie vijana na wanetu hawa. Lakini pia uzi huu unaweza kuwa msaada kwa mtu yeyote mwingine ambaye anatafuta kazi na anataka kufanya mambo kwa weledi

Yafuatayo kwa ufupi sana ni mambo muhimu kukuongezea nafasi ya kupata kazi
1. Usitumie akaunti iliyokaa kihuni. Unakuta mtu ana akaunti ambayo imekaa kihuni kihuni tu. Jina la kihuni, au hata halieleweki. Avatar anavuta bangi, signature ina vitu kiba inappropriate. Yaani sahau kupata kazi serious hata kama ni mtaalam kiasi gani. Picha atakayopata potential employer, ni ile uliyoichora kwenye avatar yako. Hata kama ni jina fake basi tafuta jina zuri, lenye maana fulani nzuri tu, weka avatar ya mtu anayejiheshimu na andika signature yenye vitu vya msingi.

2. Shiriki kwenye mijadala ya fani yako. Ukiwa bubu wa kuandika unaficha kipawa chako. Jaribu kushiriki mijadala ya fani yako kwa level uliyo nayo. Huko utakutana na opportunity. Unaweza kuta unajadiliana na mtu anayetafuta mhasibu au mwalimu. Ukichangia vitu postive halafu akalikuta tangazo lako la kazi, ni rahisi kukufikiria kwa sababu tayari ana angalau experience ya kujadiliana nawe.

3. Jadiliana na watu kwa nidhamu na heshima. Kuna watu inapokuja wakati wa kutafuta au kubadili kazi inabidi atumie akaunti mpya. Hii ni kwa sababu keshatukana watu wote aliotofautiana nao. Maisha ni kutofautiana. Ila hata pale unapotofautiana na mtu andika kwa staha. Mkosoe mtu kwa staha, na ukitanguliza nidhamu mbele kama tai. Mwajiri yeyote atapenda kuajiri mtu ambaye mnaweza kutofautiana asilimia 100 bila kutukanana au kugombana.

4. Jifunze vitu vingi nje ya fani yako. Unaweza kuta umesoma sociology lakini mjadala uliopo ni wa uhasibu. Jifunze mawili matatu kuhusu hiyo fani. Hujui hayo machache yatakusaidia wapi. Lakini pia kuna soft skills ambazo zinahitajika na kila fani. Jifunze hizo na anzisha au shiriki mijadala inayozihusu

5. Andika kama mtu anayehitaji kazi. Ni aghalabu sana kukuta hapa JF mtu ameandika kama kweli anaomba kazi. Unpotafuta kazi hakikisha bandiko lako limejitosheleza kwa taarifa ambazo sio identifying. Sema wewe ni nani, umesoma nini, umemaliza lini, unajua kufanya nini na nini bila kusaidiwa na unajua nini ambacho utahitaji kufundishwa ili uvifanyie kazi. Andika taarifa za kutosha kiasi cha mtu asiyekuhitaji asiulize. Hii itakusogeza hatua moja mbele kupata ajira. Usiandike tu kama kuku anatafuta sindano ambayo hajui hata kama ipo. Andika ukiwa na makusudi.

6. Andika kwa usahihi. Ukiandika vibaya vibaya hakuna mtu atakuchukulia serious, hata kama unajua mpaka unaumwa! Andika vizur kwa ufasaha. Kama kazi unayoihitaji inatumia kiingereza sana, basi andika kwa lugha hiyo. Hakikisha unapitia ulichokiandika kabla ya kutuma. Hii itampa picha mwajiri kama afuatilie zaidi au apotezee. Kunandika Xaxa, gdnite au ujinga mwingine, ujue hakuna atakayechukulia bandiko lako serious.

7. Onyesha una malengo gani na hii kazi. Moja kati ya tatizo la Watanzania ni kuwa professional normads. Yaani ndani ya miaka 3 amebadili kazi 6. Hapo average ni miezi sita kwa kila kazi. Hakuna mwajiri anataka ujinga huo. Kama unataka kukaa muda mfupi, onyesha kwenye bandiko lako. Kama unataka kukaa muda mrefu weka wazi pia. Usiwe vague kwenye nini kampuni watarajie toka kwako

8. Kama unataka kujitolea weka wazi namna unayotaka kujitolea. Je unatarajia kujilipia nauli na chakula au unatarajia upewe? Lakini pia unapojitolea kampuni inakupa ujuzi na maarifa. weka wazi wao watapata nini toka kwako? Je watakufundisha then ukiisha kujua unasepa kwenye green pasture? Au unatarajia kufanya nini? Wengi hudhani kujitolea unaipa favor kampuni au biashara inayokupa nafasi. Kimsingi wewe unayejitolea ndio mfaidika namba moja. Kwa hiyo washawishi watapata nini, baada ya wao kuwekeza kwao

Mambo yako mengi na wengine wataongezea, ila usidharau haya mambo ni muhimu sana!

Nilitaka pia kuongeza jambo moja muhimu:

9. Uwe connected na kuwa a taarifa muhimu/sahihi kuhusu taaluma yako/kile ulichokisomea! Hapa namaanisha be connected and currently informed of your industry as of now: typical practices, changes, opportunities, challenges etc. Ni lazima kuwa na taarifa sahihi ya taaluma yako ili uwe unaweza kuonekana kwenye uko informed na siyo tu ulichokisomea miaka labda minne iliyopita! Lakini ambacho kwa sasa hujui au huna uhakika kama ndo bado kipo au kuna vingine tu na wewe hujavijua.
 
Tatizo huku wengi wanajifanya wajuaji sana, niliwahi kuandika uzi wa kuomba kazi sasa kuna ng'ombe ikiona comments zangu majukwaa mengine anaanza kuniuliza kama nimepata kazi

Achana na hao ngo’ombe! Wewe pambana kama wewe! Ukimpa kila “ng’ombe” attention yako unafikiri utafika kwenye malengo yako?! Be able to accept and acknowledge all the “Constructive challenges” you face on the way, and be able to put aside and not be fully mindful of all the idiotic arguments from hao “ng’ombe”. Kwa mfano mtu akielekeza jambo na likawa lenye mashiko ni lazima kulichukua na kulifanyia kazi na siyo kuona huyo mtu analeta ujuaji!
 
7. Onyesha una malengo gani na hii kazi. Moja kati ya tatizo la Watanzania ni kuwa professional normads. Yaani ndani ya miaka 3 amebadili kazi 6. Hapo average ni miezi sita kwa kila kazi. Hakuna mwajiri anataka ujinga huo. Kama unataka kukaa muda mfupi, onyesha kwenye bandiko lako. Kama unataka kukaa muda mrefu weka wazi pia. Usiwe vague kwenye nini kampuni watarajie toka kwako.

Mambo yako mengi na wengine wataongezea, ila usidharau haya mambo ni muhimu sana!

Mimi nimefanya kazi nyingi za data collection and data entry na consultancy. Mara nyingi hizi kazi huwa ni za muda mfupi mfupi inaweza kuwa siku 7, 14 au 30 tu mkataba unaisha. Kwa hiyo job experience yangu imejaa hivi vikazi.

Sasa siku moja nikaitwa kwenye interview, wakaniuliza eti " inaonekana nafanya kazi muda mfupi naacha, kwa Nini". Nilijieleza haswaa watu hawaelewi. Bahati mbaya interviewers ni wale watu wenye mikataba ya "until death contract". Hawajui kuwa huku nje sisi tunapewa mikataba ya wiki 2.
 
Inawezekanq namna ulivyoiweka kwenye CV ilionyesha au ilikuwa open to interpretation kuwa uliacha kazi. Au labda wao walielewa hivyo.

Hakikisha kwenye CV unaweka kabisa kuwa ilikuwa ni Project ya muda na kuwa mliifanikisha. Something like

Jan 2021 - Dec 2021 : A one Year Research Project on Why Employment Problem is Higher in Tanzania that in Europe.......
Onyesha what were deliverables na kuwa Project ilifanikiwa.

That or similar way itawajulisha kuwa ilikiwa ni Project ya muda tu na sio kwamba uliacha kazi
 
Mfumo wa elimu umefanyaje tena Mkuu?, Huu mfumo tumeusingizia sana. Yaani moment umegundua kuwa kuna kitu kinaitwa kujiajiri basi jua tatizo sio mfumo wa elimu bali sisi wenyewe Mkuu, trust me.

Ingekuwa msemo kujiajiri ni mgeni kabisa masikioni mwa wasomi basi tungesema mfumo wa elimu una shida ila ukweli ni kwamba elimu yetu inafundisha mambo yote ya msingi ili uweze kujitegemea.

Tatizo lipo sehemu tofauti sana. Linawezekana lipo kwenye uchumi au sera ya taifa kwa vijana, ila sio kwenye mfumo wa elimu hata kidogo.

Utakuta graduate anaona kufuatilia taarifa ya habari ni ushamba, au kusoma gazeti la Citizen, The Guardian, n.k ni ujinga/ushamba alafu baadae aalalamikia mfumo wa elimu.
Kwa sasa hv, kinachoshuhudiwa hata kwenye taasisi za elimu ya juu zilizo nyingi ni ukarirushaji wa notes, nadharia ni kubwa kuliko hata vitendo. Hii inachangiwa na miundombinu wezeshi ya utoaji elimu iliyo bora kuwa finyu. Idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa vyuoni kwa wakati huu ni wengi sana ukilinganisha na uwezo wa chuo chenyewe. Athari huwakumba wanaosoma kwani hukuta vitendea kazi haviwiani sawia na idadi yao, na hivyo kupelekea utoaji wa elimu kuwa wa bora lilende kuliko kuhakikisha wanaosoma kweli wameweza kuelewa na kukidhi vigezo kwenye ujuzi na maarifa. Siku hzi vyuoni hadi special projects zimeanza kufanywa kwa makundi....siyo mbaya sana lakini je wanafunzi hao wanapata usimamizi wa kutosha? Vitendea kazi ni haba ... ukiuliza machine fulani ipo wapi tuione utaambiwa haipo au mbovu. Mimi nadhani ili taifa letu liendelee linatakiwa kuwekeza nguvu nyingi sana kwenye elimu kuliko ilivyo sasahv...
 
Kwa nini sisi wa darasa la saba hatuajiriwi? mwenye kujua tafadhali
 
Nimeona wengi wakiwa desperate wakitaka kazi, lakini mabandiko mengi yamekaa kihuni sana. Ni vigumu kupata kazi kama tu first impression itakuwa ni mhuni fulani hivi. Kwa sababu kizazi cha xoxo kimekuwa na mtindo wa kudharau vitu vya msingi kwa pretext ya "Usi complicate maisha", nimeona niwasaidie vijana na wanetu hawa. Lakini pia uzi huu unaweza kuwa msaada kwa mtu yeyote mwingine ambaye anatafuta kazi na anataka kufanya mambo kwa weledi

Yafuatayo kwa ufupi sana ni mambo muhimu kukuongezea nafasi ya kupata kazi
1. Usitumie akaunti iliyokaa kihuni. Unakuta mtu ana akaunti ambayo imekaa kihuni kihuni tu. Jina la kihuni, au hata halieleweki. Avatar anavuta bangi, signature ina vitu kiba inappropriate. Yaani sahau kupata kazi serious hata kama ni mtaalam kiasi gani. Picha atakayopata potential employer, ni ile uliyoichora kwenye avatar yako. Hata kama ni jina fake basi tafuta jina zuri, lenye maana fulani nzuri tu, weka avatar ya mtu anayejiheshimu na andika signature yenye vitu vya msingi.

2. Shiriki kwenye mijadala ya fani yako. Ukiwa bubu wa kuandika unaficha kipawa chako. Jaribu kushiriki mijadala ya fani yako kwa level uliyo nayo. Huko utakutana na opportunity. Unaweza kuta unajadiliana na mtu anayetafuta mhasibu au mwalimu. Ukichangia vitu postive halafu akalikuta tangazo lako la kazi, ni rahisi kukufikiria kwa sababu tayari ana angalau experience ya kujadiliana nawe.

3. Jadiliana na watu kwa nidhamu na heshima. Kuna watu inapokuja wakati wa kutafuta au kubadili kazi inabidi atumie akaunti mpya. Hii ni kwa sababu keshatukana watu wote aliotofautiana nao. Maisha ni kutofautiana. Ila hata pale unapotofautiana na mtu andika kwa staha. Mkosoe mtu kwa staha, na ukitanguliza nidhamu mbele kama tai. Mwajiri yeyote atapenda kuajiri mtu ambaye mnaweza kutofautiana asilimia 100 bila kutukanana au kugombana.

4. Jifunze vitu vingi nje ya fani yako. Unaweza kuta umesoma sociology lakini mjadala uliopo ni wa uhasibu. Jifunze mawili matatu kuhusu hiyo fani. Hujui hayo machache yatakusaidia wapi. Lakini pia kuna soft skills ambazo zinahitajika na kila fani. Jifunze hizo na anzisha au shiriki mijadala inayozihusu

5. Andika kama mtu anayehitaji kazi. Ni aghalabu sana kukuta hapa JF mtu ameandika kama kweli anaomba kazi. Unpotafuta kazi hakikisha bandiko lako limejitosheleza kwa taarifa ambazo sio identifying. Sema wewe ni nani, umesoma nini, umemaliza lini, unajua kufanya nini na nini bila kusaidiwa na unajua nini ambacho utahitaji kufundishwa ili uvifanyie kazi. Andika taarifa za kutosha kiasi cha mtu asiyekuhitaji asiulize. Hii itakusogeza hatua moja mbele kupata ajira. Usiandike tu kama kuku anatafuta sindano ambayo hajui hata kama ipo. Andika ukiwa na makusudi.

6. Andika kwa usahihi. Ukiandika vibaya vibaya hakuna mtu atakuchukulia serious, hata kama unajua mpaka unaumwa! Andika vizur kwa ufasaha. Kama kazi unayoihitaji inatumia kiingereza sana, basi andika kwa lugha hiyo. Hakikisha unapitia ulichokiandika kabla ya kutuma. Hii itampa picha mwajiri kama afuatilie zaidi au apotezee. Kunandika Xaxa, gdnite au ujinga mwingine, ujue hakuna atakayechukulia bandiko lako serious.

7. Onyesha una malengo gani na hii kazi. Moja kati ya tatizo la Watanzania ni kuwa professional normads. Yaani ndani ya miaka 3 amebadili kazi 6. Hapo average ni miezi sita kwa kila kazi. Hakuna mwajiri anataka ujinga huo. Kama unataka kukaa muda mfupi, onyesha kwenye bandiko lako. Kama unataka kukaa muda mrefu weka wazi pia. Usiwe vague kwenye nini kampuni watarajie toka kwako

8. Kama unataka kujitolea weka wazi namna unayotaka kujitolea. Je unatarajia kujilipia nauli na chakula au unatarajia upewe? Lakini pia unapojitolea kampuni inakupa ujuzi na maarifa. weka wazi wao watapata nini toka kwako? Je watakufundisha then ukiisha kujua unasepa kwenye green pasture? Au unatarajia kufanya nini? Wengi hudhani kujitolea unaipa favor kampuni au biashara inayokupa nafasi. Kimsingi wewe unayejitolea ndio mfaidika namba moja. Kwa hiyo washawishi watapata nini, baada ya wao kuwekeza kwao

Mambo yako mengi na wengine wataongezea, ila usidharau haya mambo ni muhimu sana!
nimeolewa ndugu Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom