Zunguzia ufahamu unaoujua ili tujadili. Hii ndo mentality ya kuamini hiyo ni taaluma ya wachache na kila mgonjwa ni mbumbumbu! Nooo! tHat will be rubbish!Hivi mnaibuka kutoka wapi; kuna jalala fulani mnakojificha na kuibuka kuzungumzia mambo msiyokuwa nayo ufahamu wowote?
Kibaya zaidi hawamuangalii mgonjwa akisikiliza mgonjwa anasumbuliwa au ana maumivu gani ukimaliza sentensi tu anakuwa amekuandikia dawa sasa ukija 'Google' ndio unagundua umepewa dawa za mwendawazimuTujiridhishe na dawa tunazopewa hospitalini kabla ya kuzitumia kama ndizo zenyewe, kuna malalamiko ya watu kupewa dawa ambazo sio za ugonjwa husika. Lakini swali ni je utajaridhishaje kwamba dawa ulizopewa ndizo zenyewe na wewe sio daktari?.
Hapa wafamasia nao wanahusika kwa kutoa dawa ambazo sio, jamani kama dawa hiyo hakuna basi tuambieni haipo sio kutoa dawa ilimradi nisiondoke bila dawa, hii itakuwa kuhatarisha maisha ya mtu au kuua kwa makusudi!
Hii ndiyo ilipaswa kuwa headingwaziri fukuza kazi bodi ya wakurugenz yote ya mhimbili wameshindwa kusimamia wafanyakaz wao
Ndio tatizo letu hili..akili ndogo za kishabiki..mavyama yenu haya muyaache kidogo..suala la tiba sio la utani utaniHakuna huo ujinga awamu ya tano, watu wamenyooka sasa nidhamu imerudi kwenye maofisi na watu wanachapa kazi balaa..
Nyie mtakuwa CDM..
Ndio tatizo letu hili..akili ndogo za kishabiki..mavyama yenu haya muyaache kidogo..suala la tiba sio la utani utaniHakuna huo ujinga awamu ya tano, watu wamenyooka sasa nidhamu imerudi kwenye maofisi na watu wanachapa kazi balaa..
Nyie mtakuwa CDM..
Wewe umekuja na maelezo mazuri sana. Labda hiyo ni sababu mojawapo ya tofauti kubwa ya bei ya dawa niliyoiona kwani sikulinganisha makampuni.Mimi Si mtaalam sana, Ila ngoja nichangie kidogo...
Bei za dawa au bidhaa fulani, zinaweza kutofautiana kati ya sehemu moja hadi nyingine Kutegemeana na Ulivyoipata. Kuna njia nyingi za kupata dawa, na tofauti ni kubwa kati ya Manunuzi ya dawa katika hospitali ya Umma na Manunuzi hayo ya dawa katika Duka binafsi la dawa, Njia hizo zinaweza kuchangia kutofautisha bei kati ya hapa na pale.
Tofauti nyingine kubwa, Inaweza kuwa ; Dawa ni ile ile, Ila imetengenezwa na Kampuni mbili tofauti ambapo Moja Inatengeneza Katika Branded Formulation na nyingine ni Generic formulation.
Kidonge kimoja cha Loratin (Loratadine 10mg ya Kiwanda cha CIPLA) kinauzwa 500/-, Ilhali Kidonge Kimoja cha Claritin (Loratadine 10mg ya Kiwanda cha Scherring Plough) Kinauzwa 2500/-.
Unaona Tofauti??
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajichanganya sana.Zunguzia ufahamu unaoujua ili tujadili. Hii ndo mentality ya kuamini hiyo ni taaluma ya wachache na kila mgonjwa ni mbumbumbu! Nooo! tHat will be rubbish!
Twambie juu ya madawa feki, twambie juu ya kupoteza muda kwenye dispensary za mitaani na hospitali binafsi. Nchi gani ya maana inaruhusu upuuzi huo?
Nawe umejitahidi kuchangia.Kwani ulivyosikia serikali ya awamu ya tano ikihimiza uwekezaji kwenye viwanda vya dawa ili kutengeneza dawa hapa hapa nchini wewe ulielewa nini? au ulipiga vigeregere vya kumtukuza mtukufu bila kuelewa? anyway for your information, panadol zimekuwa zikitenfenezwa hapa nchini kwa muda mrefu but kwanini watu huuliziaga ya kenya au Italy au india?
Ni kweli ndo maana leo hii waandishi habari wanapolalamika kuona mwenzao yuko rumande naona ni unafiki tu! Waalimu, madakatari au taaluma zingine wakigoma hakuna mwandishi anayeandika la maana. Clouds walikuwa mbele sana kuwalaani madaktari.Nakumbuka enzi za mgomo wa madaktari ukiongozwa na Dr. Ulimboka kudai vifaa tiba na maslahi Bora Kwa watumishi wa afya.
Watanzania waliwaona madaktari wasaliti. Na lawama zikawa nyingi juu yao.
Waandishi wa habari wakawa wanaandika habari tofauti na yalio tokea katika mgomo Kwa kuipendelea serikali.
Mtazamo wangu, Kama kipindi kile wananchi wangeunga mkono juhudi zile za Dr. Basi sasa hivi tungekua mbali.