Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Zunguzia ufahamu unaoujua ili tujadili. Hii ndo mentality ya kuamini hiyo ni taaluma ya wachache na kila mgonjwa ni mbumbumbu! Nooo! tHat will be rubbish!Hivi mnaibuka kutoka wapi; kuna jalala fulani mnakojificha na kuibuka kuzungumzia mambo msiyokuwa nayo ufahamu wowote?
Twambie juu ya madawa feki, twambie juu ya kupoteza muda kwenye dispensary za mitaani na hospitali binafsi. Nchi gani ya maana inaruhusu upuuzi huo?