Kwako Waziri wa Afya: Matatizo matatu ya Hospitali ya Muhimbili na Mloganzila ni haya

Kwako Waziri wa Afya: Matatizo matatu ya Hospitali ya Muhimbili na Mloganzila ni haya

Hivi mnaibuka kutoka wapi; kuna jalala fulani mnakojificha na kuibuka kuzungumzia mambo msiyokuwa nayo ufahamu wowote?
Zunguzia ufahamu unaoujua ili tujadili. Hii ndo mentality ya kuamini hiyo ni taaluma ya wachache na kila mgonjwa ni mbumbumbu! Nooo! tHat will be rubbish!
Twambie juu ya madawa feki, twambie juu ya kupoteza muda kwenye dispensary za mitaani na hospitali binafsi. Nchi gani ya maana inaruhusu upuuzi huo?
 
Usikurupuke na kuandika tu weka na ushahidi, uzushi mwingine hauna maana yoyote
 
Nakumbuka enzi za mgomo wa madaktari ukiongozwa na Dr. Ulimboka kudai vifaa tiba na maslahi Bora Kwa watumishi wa afya.

Watanzania waliwaona madaktari wasaliti. Na lawama zikawa nyingi juu yao.

Waandishi wa habari wakawa wanaandika habari tofauti na yalio tokea katika mgomo Kwa kuipendelea serikali.

Mtazamo wangu, Kama kipindi kile wananchi wangeunga mkono juhudi zile za Dr. Basi sasa hivi tungekua mbali.
 
Tujiridhishe na dawa tunazopewa hospitalini kabla ya kuzitumia kama ndizo zenyewe, kuna malalamiko ya watu kupewa dawa ambazo sio za ugonjwa husika. Lakini swali ni je utajaridhishaje kwamba dawa ulizopewa ndizo zenyewe na wewe sio daktari?.
Hapa wafamasia nao wanahusika kwa kutoa dawa ambazo sio, jamani kama dawa hiyo hakuna basi tuambieni haipo sio kutoa dawa ilimradi nisiondoke bila dawa, hii itakuwa kuhatarisha maisha ya mtu au kuua kwa makusudi!
Kibaya zaidi hawamuangalii mgonjwa akisikiliza mgonjwa anasumbuliwa au ana maumivu gani ukimaliza sentensi tu anakuwa amekuandikia dawa sasa ukija 'Google' ndio unagundua umepewa dawa za mwendawazimu


Hospitali zote za Serikali Private Clinics uchwara fagio la chuma linawahusu
Madaktari uchwara wengi mnooo wanafanya practical na miili ya watu.

Tuliua hospitali za missionary zilikuwa au bado ni nzuri kuliko uchafu wa Mloganzila na Muhimbili
 
Hahahah Hiyo ndio awamu ya Tano, sasa tusubiri awamu ya Sita November 2020.

Chamsingi mwananchi usiugue mpaka warekebishe huduma za afya.

Wekeni mgomo nchi gani tajiri wananchi wake wote wagonjwa?

Naweza kusema kazi ya Udaktari ni ya kijinga sana. dactari unafanya kazi kutwa kucha bado watu wanalalamika.

Kule TRA, TAKUKURU vijana wanapiaga pesa ndeefu, wanafanya kazi masaa 6 tu wanaenda kupumzika, life yao safi na hawana stress na wananchi hawawalalamikii.

Njoo Hospitali, sasa hata mfanyakazi wa TRA na TAKUKURU wanaopokea rushwa wakifika hospitali HAWATAKI kutoa Rushwa.
Wanataka first class service wakati nami life yangu iko nyan'ganyang'a nataka kui boost up.

Ndio unakuta Daktari anafanya kazi hospitali 2 hadi tatu tofauti, lakini hapumziki kama hawa wa TRA na TAKUKURU. na hapati michongo kama hawa wa TRA na TAKUKURU.

Wakidai malipo mazuri mnawatishia kuwafukuza kazi, TULIENI SINDANO ZIWAINGIE. Kila mtu ajali maisha yake kivyake.

Mtalalamika wapi, na mnadhani nani atakuja kufanya hizo kazi wakifukuzwa?

Mnalia MAISHA MAGUMU ,mara VYUMA VIMEKAZA lakini HAJABU HAMTAKI KUFA.
 
KUTOKA MLONGA ANZILA MPAKA MLOGANZILA!

Mloganzila si eneo ama jina geni kwa baadhi ya watu ingawa wengi wetu jina hili ni geni masikioni mwetu.

Mloganzila ni eneo kilipojengwa Chuo Kikuu cha Tiba na Afya Muhimbili (MUHAS). Eneo hili lipo Kisarawe mkoa wa Pwani.

Picha inayoonekana si ya Ulaya bali ni moja ya majengo ya Chuo hicho kilichojengwa kwa msaada wa Serikali ya Korea Kusini.

Kona ya Wahenga tulipata nafasi ya kwenda kutembelea eneo hili na tulipenda kufahamu asili na maana ya neno Mloganzila. Tulikutana na Mzee mwenyeji wa eneo hili na alitueleza yafuatayo;

"Jina Mloganzila linatokana na uwepo wa Bwana mmoja miaka hiyooo ambaye wengi hatukumjua jina lake halisi mpaka alipofariki."

"Bwana huyu alikuwa pandikizi la mtu lililoshiba hasa, alikuwa na misuli iliyotokeza na mikononi mpaka miguuni. Alikuwa na vigimbi na kifua kipana kama Simba. Licha ya umbo hilo kama mbuyu Bwana huyu alikuwa mkimya na mpole sana, watu wengi tulimuogopa kwa kweli."

"Bwana huyu alikuwa akipenda sana kuimba na kuongea njiani akiwa peke yake huku ameweka shoka, jembe na panga lake begani. Alitembea mithili ya askari wapitao mbele ya Rais kutoa saluti."

"Kutokana na kile kitendo chake cha kuongea njiani ndipo sisi wazaramo kwa lugha yetu tukawa tunamuita " MLONGA ANZILA" tukimaanisha "Msema njiani." Jina hili lilikuwa sana ikafika wakati hata watu wa Kibaha, Kiluvya,Kongowe na Mlandizi walimfahamu. Yaani ilikuwa ukiuliza tu kwa Mlonga Anzila hata mtoto mdogo alikuwa anakupeleka."

"Miaka ilivyosonga na kuingia kwa wazungu kulipelekea kubadilika kwa uhalisia wa jina hili. Wazungu walishindwa kutamka neno Mlonga Anzila na wakatamka Mloganzila. Athari hiyo iliendelea mpaka leo hii."

"Kwa hiyo vijana wangu hiyo ndiyo asili na maana ya neno Mloganzila. Ni matumaini yangu mmeridhika."

Kona ya Wahenga tunasema asante Babu kwa kutupatia asili na maana ya jina ama neno Mloganzila.

Tuendelee kujuzana.

Kona ya Wahenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna huo ujinga awamu ya tano, watu wamenyooka sasa nidhamu imerudi kwenye maofisi na watu wanachapa kazi balaa..
Nyie mtakuwa CDM..
Ndio tatizo letu hili..akili ndogo za kishabiki..mavyama yenu haya muyaache kidogo..suala la tiba sio la utani utani
 
Hakuna huo ujinga awamu ya tano, watu wamenyooka sasa nidhamu imerudi kwenye maofisi na watu wanachapa kazi balaa..
Nyie mtakuwa CDM..
Ndio tatizo letu hili..akili ndogo za kishabiki..mavyama yenu haya muyaache kidogo..suala la tiba sio la utani utani
 
JF will always be a place for freedom of speech where no body can't hear.

And it will continue to be a threat for anyone hating truth with an intention to undermine people's rights

A place for true leaders to hear from the minority-majority views and their challenges by representations writtings

It is a place to air and present social problem and regrets.

Its a place to learn, for those with idle mind will learn from the specialized ones.

Its a place for change, some people have learnt new ways of life here, some become warned and be aware of the bad way they could be on

Anyone hating JF hates the people and,
Enjoy their freedom vandalization and,
Despises the social regrets.etc

Long live JF


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hamjui kuwa matatizo yote hayo kisababishi Ni Mbowe na genge lake, na huu Ni uchochezi! Shauri zenu. Hii Ni serikali ya wanyonge na inawajali Sana. Nyie msilete uchochezi wenu hapa, acha serikali tukufu ifanye kazi yake
 
Mimi Si mtaalam sana, Ila ngoja nichangie kidogo...
Bei za dawa au bidhaa fulani, zinaweza kutofautiana kati ya sehemu moja hadi nyingine Kutegemeana na Ulivyoipata. Kuna njia nyingi za kupata dawa, na tofauti ni kubwa kati ya Manunuzi ya dawa katika hospitali ya Umma na Manunuzi hayo ya dawa katika Duka binafsi la dawa, Njia hizo zinaweza kuchangia kutofautisha bei kati ya hapa na pale.
Tofauti nyingine kubwa, Inaweza kuwa ; Dawa ni ile ile, Ila imetengenezwa na Kampuni mbili tofauti ambapo Moja Inatengeneza Katika Branded Formulation na nyingine ni Generic formulation.
Kidonge kimoja cha Loratin (Loratadine 10mg ya Kiwanda cha CIPLA) kinauzwa 500/-, Ilhali Kidonge Kimoja cha Claritin (Loratadine 10mg ya Kiwanda cha Scherring Plough) Kinauzwa 2500/-.
Unaona Tofauti??

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekuja na maelezo mazuri sana. Labda hiyo ni sababu mojawapo ya tofauti kubwa ya bei ya dawa niliyoiona kwani sikulinganisha makampuni.
 
Zunguzia ufahamu unaoujua ili tujadili. Hii ndo mentality ya kuamini hiyo ni taaluma ya wachache na kila mgonjwa ni mbumbumbu! Nooo! tHat will be rubbish!
Twambie juu ya madawa feki, twambie juu ya kupoteza muda kwenye dispensary za mitaani na hospitali binafsi. Nchi gani ya maana inaruhusu upuuzi huo?
Unajichanganya sana.

Wapi nilipotetea "nchi ya maana kupoteza muda..."

Mtu kama wewe hamweki maanani mnachokiandika hapa, mnabwatuka tu kila unapojisikia.

Hukumbuki tulishajibishana hapa JF kuhusu mambo kama haya, nikakupa mhtasari tu, lakini hukumbuki kitu!

Bado unataka nikutajie "vitabu nilivyosoma?"
 
Sekta ya afya imeelemewa sana, na kadri ziku zinavyoongezeka na idadi ya watu kuongezeka, nafuu ni ndoto ya mbali.

Mapendekezo:
1. Serikali na jamii kwa ujumla tungeweka mkazo kwenye kinga dhidi ya magonjwa kuliko tiba. Usafi, lishe bora, mazoezi ya viungo na akili, afya ya akili, kazi, makazi bora, nk., tungepunguza idadi ya wagonjwa na gharama za matibabu.
2. Uwekezaji kwenye Sekta ya Afya, hasa kupitia PPP (Public-Private Partnerships). Kuongeza motisha ya wafanyakazi katika tasnia hii, japo wito huchukua nafasi ya juu sana kwenye hii tasnia. Vile vile upanuzi wa elimu kwenye Sekta nzima ya Afya ili kuwe na utaalamu wa kuendesha viwanda, masoko, miradi, nk
3. Mfumo wa kuhakiki madawa ili wananchi/watumiaji waweze kuhakiki kama dawa walizopewa zimeridhiwa/idhinishwa na mamlaka husika. Aidha kwa kupitia ujumbe mfupi au kwenye mtandao. Teknolojia ipo kuwezesha hili
4. Mafunzo kwa vitendo ni muhimu sana kwa madakatari chipukizi/ wanafunzi. Hata hivyo ninaamini ni kosa la kisheria na kimaadili kuruhusu mwanafunzi atoe hitimisho la hatma ya mgonjwa bila ya mtaalamu (certified) kuidhinisha.
 
Kwani ulivyosikia serikali ya awamu ya tano ikihimiza uwekezaji kwenye viwanda vya dawa ili kutengeneza dawa hapa hapa nchini wewe ulielewa nini? au ulipiga vigeregere vya kumtukuza mtukufu bila kuelewa? anyway for your information, panadol zimekuwa zikitenfenezwa hapa nchini kwa muda mrefu but kwanini watu huuliziaga ya kenya au Italy au india?
Nawe umejitahidi kuchangia.
 
Nakumbuka enzi za mgomo wa madaktari ukiongozwa na Dr. Ulimboka kudai vifaa tiba na maslahi Bora Kwa watumishi wa afya.

Watanzania waliwaona madaktari wasaliti. Na lawama zikawa nyingi juu yao.

Waandishi wa habari wakawa wanaandika habari tofauti na yalio tokea katika mgomo Kwa kuipendelea serikali.

Mtazamo wangu, Kama kipindi kile wananchi wangeunga mkono juhudi zile za Dr. Basi sasa hivi tungekua mbali.
Ni kweli ndo maana leo hii waandishi habari wanapolalamika kuona mwenzao yuko rumande naona ni unafiki tu! Waalimu, madakatari au taaluma zingine wakigoma hakuna mwandishi anayeandika la maana. Clouds walikuwa mbele sana kuwalaani madaktari.

Lakini tabia ya madaktari hawa, hata ukiwaongeza kipato, watafanya hayo hayo! Tatizo ni kukomaa kichwani. TRA waliongeza mishahara kwa sababu hizo, matokeo vijamaa na elimu duni vikawa na kipato kikubwa lakini rushwa ikawa kama kawaida tu. Tatizo ni vichwa!
 
Hali ni mbaya katika hospitali zetu, sio mhimbili tu,,, tatizo ni kujiona hiyo fani ni bora kuliko zingine,,, kitu ambacho sio kweli ,,ni kutojitambua tu ,, na kukosa usimamizi mzuri kutoka kwa uongozi,,, ,,mwaka jana ,,2019, nilikuwa namuuguza baba angu mzazi ,,r.i.p, kaka hospitali moja simiyu,,baba akawa specimen ya kujifunzia mbele ya macho yangu,,nilifokana nao,,,,sana,,ni mengi lakini hii sector imeachwa sana katika usimamizi,,,, wanafanya kazi kwa mazoea,,,
 
Back
Top Bottom