Kwako wewe dada ninaye kuhusudu/ku admire MMU

Kwako wewe dada ninaye kuhusudu/ku admire MMU

Hapa hatuzungumzii maandiko na story za kutunga kama hadithi, nimemfatilia huyu dada michango yake katika nyuzi tofauti zenye maudhui tofauti na kuna consistance(mfanano au muunganiko) katika tabia ya uandishi na reactions zake kwa vichocheo mbalimbali
Nimekusoma kuwa wewe ni tatizo kumbe unataka kuamini tu unachofikiria wewe bila kujali wenzako wanasemaje


Teh
 
Kesho na mimi nakuanzishia thread wallah...

Usicheze mbali...

Hongera mjukuu wangu emmyta hakika malezi yangu yameonesha manufaa... hongera sana kwangu mimi babu yenu
Hahaaaa najua hauwezi sky atakubanika maungio yako.

Nisaidie kumkagua huyo aliyeonesha upendo hapo juu,naweza nikaweka makazi rasmi?
 
Hahaaa. Kaelezea hisia zake anavyomkubali Emmy. Ungekuwa mtongozo angeshakuja huko PM na huwezi amini hata hajawahi fika.
Sina imani, hebu nipe password yako nikathibitishe...
 
Back
Top Bottom