Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Abeeh dadaHahaaa. We dadaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abeeh dadaHahaaa. We dadaaa.
Basi ungemjibu basi hata kidogo maswali anayojiuliza kama una mume maana ameandika Sana japo sio mtongozo itasaidia kidogo...Hahaaa. Kaelezea hisia zake anavyomkubali Emmy. Ungekuwa mtongozo angeshakuja huko PM na huwezi amini hata hajawahi fika.
Nakusalimia tu Dada.Abeeh dada
Aahahha me mzima sana dada akee hofu kwako tuNakusalimia tu Dada.
Mie pia sijambo kabisa dada.Aahahha me mzima sana dada akee hofu kwako tu
Oh my bad!! Vijana wameze mate sasa[emoji16][emoji16]Hahaaa. Nimeshachukuliwa tayari.
Hahaaaaa. Na kweli aisee.Oh my bad!! Vijana wameze mate sasa[emoji16][emoji16]
Mzee si ungeliweka hapa kabisa ili emmyta ayafanyie upembuzi yakinifuHili chapisho kama langu tu, tofauti ni kwamba hili lipo JF langu lipo Moyoni...
Hahah!! Mkuu acha kwanza emmyta ajipoze na hiliMzee si ungeliweka hapa kabisa ili emmyta ayafanyie upembuzi yakinifu
Duuh! Nimecheka sana rafiki. Haya ahsante.Hili chapisho kama langu tu, tofauti ni kwamba hili lipo JF langu lipo Moyoni...
Mmh. [emoji15] Upembuzi gani huo Swahiba?Mzee si ungeliweka hapa kabisa ili emmyta ayafanyie upembuzi yakinifu