Kwako wewe mwanaume uliyesalitiwa na mpenzi wako

Kwako wewe mwanaume uliyesalitiwa na mpenzi wako

Muombe simu yake urushe nyimbo then mwambie simu yake inaitaji kufanyiwa update

So nenda upande wa password nenda finger print ongeza kidole chako na wewe (ukitaka kuongeza finger print hapa huwa wanaomba password so unampa aandike mwenyewe ili aendelee kujua hujui password yake)

Ukishafanikiwa hapo unaenda play store unapakua app ya call recorded then una iweka on alafu una HIDE hiyo app

So kazi yako inakuwa kila siku usiku akilala unachukua simu unajirushia call zote unaanza kuzisikia kama nyimbo vile

MFATILIE MWANAMKE WAKO KADILI UWEZAVYO

USIPOMFATILIA WEWE NAN AMFATILIE ?

KWANINI ULEE WATOTO AMBAO SIO WAKO UKIJUA NI WAKO
Ntumie hio app kwa picha niitafute🤣
 
Nimeshakomaa hizi ni maelezo za vijana, mi hua naambiwa km kuna mgahawa wa karibu kula tu maana Mimi sipo huko kukupikia leo maana upo mbali

Hii comment wataelewa waliosoma Santiago de Cuba
 
Nashukuru Mungu nina uwezo mkubwa wa kujua tabia ya mtu kwa kuzungumza nae mambo machache tu.

Kwahiyo mwanamke akileta usanii atakutana na teke la Boyka
[emoji16]
 
Uchi wangu afu uupangie matumizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] thubutuuu, Nampa nimtakaye, namnyima nimtakaye.....kuachana kupo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
,[emoji21]
 
Ntumie hio app kwa picha niitafute[emoji1787]
Andika tu call recorded zitakuja unachagua uitakayo

Mm natumia hiyo
20230622_213012.jpg
 
Mwanamke Akikusaliti (Akikucheat) Kwa Mwanaume Mwingine, Usikubali Kumrudisha Tena Kwako.

Ili mwanamke akusaliti kuna vitu viwili husababisha.
  • Ni danga, huwezi kumtuliza. Au
  • Upendo wake umeisha kwako kihisia na vitendo, sio kimaneno.

Kuhusu aina ya kwanza hiyo sikushauri uingie naye kwenye mahusiano. Utamjua kirahisi kupitia stori zake.

Kama aliwahi kumcheat mwanaume wake yoyote ujue huyo ana tabia hiyo. Haijalishi sababu ilikua nini (apa inabidi uwe na roho ngumu).
Ndo hawa unakuta hawezi kuwa na mwanaume mmoja.
Anaona haridhiki, kipesa, kihisia au kimawazo.

Mwanamke wa hivi anaweza fanya mapenzi na mwanaume hata bila kuwa na hisia naye. Anamuwekea mwanaume uchi hapo, apige akimaliza wamalizane.

Uyo wa aina ya pili ni kwamba si mvumilivu sana. Mapenzi sio mstari ulionyooka. Kuna kipindi kuna mazuri na kuna kipindi hakuna linaloenda sawa.

Wengine hawana uwezo wa kuvumilia ukiwa unapitia shida kifedha.
Wengine hawana uwezo wa kuvumilia pale hisia zake kwako zikishuka.

Sasa kitendo cha yeye kwenda kwa mwanaume mwingine hadi kufikia hatua anavuliwa chupi, ujue haoni umuhimu wa kukutunzia wewe.

Haoni umuhimu wa kutunza uchi wake kwa ajili yako kwenye icho kipindi mnachopitia. Mpaka kufikia hapo inamaana hisia zake kwako hakuna kabisa. Na ujue kwamba hisia za mwanamke hazina huruma na mtu hata kidogo.

Mwanamke hawezi penda mpenzi zaidi ya mmoja. Ukiona anapenda sehemu mbili ujue hana sifa ya kuwa mwaminifu, hasa kama ulikua umeshaingia naye kwenye mahusiano.

Akikucheat inamaana anakutumia. Kwake anasema ngoja niendelee kumuweka huyu ili jambo lango lisipofanikiwa kule nje basi niwe na sehemu ya kujipoozea (yani wewe).

Ndo maana ni muhimu kuwa na viwango vyako. Kuwa na misimamo yako. Mwanamke akikusaliti hiyo ndo imetoka, haijalishi ulimpenda kiasi gani.

Mana alikua na uwezo wa kusema muachane alafu akaenda kwa mwanaume mwingine kwa amani. Kweli, ungeumia! sababu unampenda lakini sio zaidi ya maumivu ya kusalitiwa na mwanamke unayempenda.

Na akishafanya vitu vyake huko, usimkubali tena. Mana ukishamkubali tu, hatokuheshimu tena. Sababu sasa anajua huna mipaka. Anajua anaweza kukufanyia chochote na utamsamehe. Anajua huna msimamo!

Haijalishi amelia kiasi gani, baada ya muda atasahau hayo na atakumbuka kwamba hata akikusaliti huwezi muacha.
Ni rahisi kurudia tena.

Na ukiona unamuonea huruma sana, mwambie mnaweza kuwa pamoja lakini si kama wapenzi tena. Japo sio jambo zuri mana anaweza akakuigizia mpaka ukajaa tena, ukamfanya mpenzi wako tena, alafu mzunguko ukajirudia tena.

Kuwa Na Msimamo Kumkataa Mwanamke Asiyekufaa!

Share Na Wengine Wapate Kujifunza.
Vipi mwanaume akimsaliti mwanamke?
 
Back
Top Bottom