Kwako wewe mwanaume uliyesalitiwa na mpenzi wako

Unaomba simu ujirushie nyimbo? πŸ™„
Loh mbinu hafifu hii..
Relax nakutumia kwa WhatsApp..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimesoma nikajisemea hiii!!
Labda sijui kwa "bushmen" gani!!
 
Uzi mzuri ila sikubaliani na mambo ya kumfuatilia mwanamke. Utaishia kupata stress na kukosa furaha kwenye maisha yako yote. Na mwanamke anaweza kuwa tu mtulivu ila ukionyesha kumfuatilia sana inakuwa kama umeliamsha shetani lake la kuchit. Tatizo ni watu wengi kupuuzia red flags toka siku ya kwanza anaonana na mwanamke. Mimi kwa utafiti wangu wa kitaa niligundua wanawake wasiogongwa nje ni wachache mno. Wanawake zetu wanaliwa tu huko sema ndo hatujui wanaficha.
 
Hiyo kazi ya kumfuatilia mke wako kama unafuatilia visa ya USA huo muda mnautoa wp? [emoji848].....

Jitu umekutana nalo tayari Lina meno 32 watu walishatwanga, walishakoboa na kusaga Sasa imetokea tu mmekutana na kufunga nae ndoa ndio uje uanze kumfuatilia aiseee...... Acha hayo mambo mkuu fanya mambo mengine.... Kunyuru hafugiki Kama yy mwenyewe hawezi kujishkilia basi hesabu maumivu tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…