Kwako wewe mwanaume uliyesalitiwa na mpenzi wako

Kiufupi unagawa mbususu kiholela [emoji23][emoji23]Mamy K
Shida sio kugawa, shida ni mtu kutaka kuucontrol Kama kauumba yeye🤣🤣
Mie mwenye nao ndo najua nitaulinda vipi, afu kuachana kupo tu, unaweza usiachwe Kwa kuchit ukaachwa Kwa kuzidisha chumvi kwenye mboga🤣🤣🤣
 
USALITI NI LAANA
USALITI NI DHAMBI
USALITI HAUSTAHILI MSAMAHA
 
We susa tu vile hawasusi akikupa we kula .kama umeweka moyo hiyo juu Yako
 
unataka kulifanya kama suala la utani hivi...., yaani hiyo k haitakiwi kutoka ikarudi, ikitoka nje itokomee huko huko
 
Nyinyi endeleeni kuteseka na mapenzi sisi tunakomaa na kutafuta maisha ya kesho
 
Duh! Aisee🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…