Tunakupenda ww na mzazi mwenzio Chibu mnajitahidi sana kujitoa kwenye social media najua ndo sehemu ya maisha yenu mana bila hivyo nafikiri mngepotea , una watoto 5 uliowazaa mwenyewe basi na hao wengine jaribu kuwaposti tujue maendeleo yao birthday zao wafanyie sherehe ili wajisikie kama wanapendwa naona umebase kwa kina tiffah na nillan tu.