Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
ha ha ha ha ha ha ha haHahahah, kabisa na bata tumechinja tena bata bukini
Ha ha ha ha ha ha ha
My ribs!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha ha ha ha haHahahah, kabisa na bata tumechinja tena bata bukini
Pambana na hali yako HAYAKUHUSUTunakupenda ww na mzazi mwenzio Chibu mnajitahidi sana kujitoa kwenye social media najua ndo sehemu ya maisha yenu mana bila hivyo nafikiri mngepotea , una watoto 5 uliowazaa mwenyewe basi na hao wengine jaribu kuwaposti tujue maendeleo yao birthday zao wafanyie sherehe ili wajisikie kama wanapendwa naona umebase kwa kina tiffah na nillan tu.
mwanzetu ratiba zote wazijua kwani we ni house maid wake ama,,Acha kuingilia maisha ya familia za watu.. ungewafatilia kama fan wa kweli husingemuanzishia huu uzi.
Ameshaeleza mara nyingi hawapendi.. hasa wa kwanza. Pia kwa muda huu Mkubwa yupo New York likizo na wale wakiume wawili wapo Tanzania kama wiki ya pili sasa wanakula bata.
Na hao wadogo wakikua wataweka maamuzi yao na pia hao wadogo wameingia mikataba..
mwanzetu ratiba zote wazijua kwani we ni house maid wake ama,,