Kwako Zarina Hassan; Wapost na watoto wako wengine kwenye mitandao yako ya kijamii

Kwako Zarina Hassan; Wapost na watoto wako wengine kwenye mitandao yako ya kijamii

Tunakupenda ww na mzazi mwenzio Chibu mnajitahidi sana kujitoa kwenye social media najua ndo sehemu ya maisha yenu mana bila hivyo nafikiri mngepotea , una watoto 5 uliowazaa mwenyewe basi na hao wengine jaribu kuwaposti tujue maendeleo yao birthday zao wafanyie sherehe ili wajisikie kama wanapendwa naona umebase kwa kina tiffah na nillan tu.
Pambana na hali yako HAYAKUHUSU
 
Acha kuingilia maisha ya familia za watu.. ungewafatilia kama fan wa kweli husingemuanzishia huu uzi.

Ameshaeleza mara nyingi hawapendi.. hasa wa kwanza. Pia kwa muda huu Mkubwa yupo New York likizo na wale wakiume wawili wapo Tanzania kama wiki ya pili sasa wanakula bata.

Na hao wadogo wakikua wataweka maamuzi yao na pia hao wadogo wameingia mikataba..
mwanzetu ratiba zote wazijua kwani we ni house maid wake ama,,
 
Back
Top Bottom