Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
We mpumbavu SanaSifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.
Kagame apigwe, M23 wapigwe !!
Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
Kumpiga Kagame ni mpaka Mmarekani na jamaa zake watakeSifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.
Kagame apigwe, M23 wapigwe !!
Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
Kwa manufaa ya Utulivu wa Nchi za maziwa makuuu, Manufaa ya kimkakati Nchini kwetu, Taswira ya Nchi yetu Duniani, na Kwa wakongo wenyewe.Kagame apigwe kwa manufaa ya nani??
Watoto wa Masikin tumeapa juu ya uzalendoWe mpumbavu Sana
Mnachukua watoto wa masikini mnawapeleka vitani ili wakauliwe.
Kagame hata apewe silaha za aina gan, Manpower yake ni ndogo, anapigika huyu.Kumpiga Kagame ni mpaka Mmarekani na jamaa zake watake
sijaelewa, damu ya wabongo imemwagwaje.Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.
Kagame apigwe, M23 wapigwe !!
Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
Hii Vita sio ya Kupuuza kabisa .Kaka unapenda vita, anyway tusipigane vita visivyo na faida
Siyo Kila vita ni ya kupigana hata kama unaimudu kwani Kuna madhara ya vita hata kama ukishindaHii Vita sio ya Kupuuza kabisa .
Kongo ikikaliwa na Rwanda, Tumeisha !!.Siyo Kila vita ni ya kupigana hata kama unaimudu kwani Kuna madhara ya vita hata kama ukishinda
UONGOKumpiga Kagame ni mpaka Mmarekani na jamaa zake watake