Kwakua Sasa Damu ya JWTZ imemwaga, Tukirudi Nyuma, tutakua tumewakosea Mashujaa wetu waliofia Vitani , Kagame APIGWE ,DRC alindwe.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.

Kagame apigwe, M23 wapigwe !!

Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
 
We mpumbavu Sana

Mnachukua watoto wa masikini mnawapeleka vitani ili wakauliwe.
 
Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.

Kagame apigwe, M23 wapigwe !!

Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
Kumpiga Kagame ni mpaka Mmarekani na jamaa zake watake
 
Kagame hata apewe silaha za aina gan, Manpower yake ni ndogo, anapigika huyu.

Mbinu anayotumia ni Offensive za harakaharaka kabla majeshi yetu hayana muda wa kujipanga.
 
Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.

Kagame apigwe, M23 wapigwe !!

Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
sijaelewa, damu ya wabongo imemwagwaje.
 
Back
Top Bottom