Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.
Kagame apigwe, M23 wapigwe !!
Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
Kagame apigwe, M23 wapigwe !!
Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.