Kwakuwa kizazi chetu kimeshindwa... Tuwekeze katika kizazi kijacho!

matitizo yapo llakini hawapo tayari kuya tatua.

Katika hatua za mabadiliko, Problem identification ni hatua moja, wananchi kwa pamoja hawatasema sasa tuko tayari, kupiga kelele na harakati ni njia mojawapo ya kuwaandaa wananchi na bila baadhi kujitoa kafara kwa manufaa ya wengine..No CHANGE!
 
Kinaanzia kwenye mimba utakayompa mkeo....Na ni vema iwe Mimba 'Halali' ili uzae mtoto 'Halali' umpe malezi 'halali'

ina maana kwa maelezo yako bado kizazi kijacho hakijakuwepo? Hawa watoto wa sasa kuanzia mwaka mmoja hawastahili sio?
 
Kama huyo wa Mwaka mmoja na kuendelea hajawa 'Corrupt', basi naye ni kizazi kijacho..
Tafuta thread yangu moja inaitwa 'Rushwa: From Birth to Death' utaelewa namaanisha nini Raia
 
Hapa napata wakati mgumu kidogo kuelewa namna ya kuwekeza ktk kizazi kijacho, maana mazingira yetu sasa yako 'corrupt' kama ulivyofafanua ktk post zilizotangulia, kama nimekuelewa vizuri.Mimi niko tayari kununua 'idea' yako, lakini, Je, ktk mazingira haya corrupt' unadhani itawezekana kwa kizazi kilichoshidwa kiwe na ubavu wa kuwekeza ktk kizazi kijacho? Kama jibu lako ni kuwa itawezekana ktk mazigira haya corrupt, ni njia zipi tutazitumia(sisi wa kizazi kilichoshindwa kwa mujibu wa maelezo yako) kufanya uwekezaji huo?
 
Namuomba Mungu akipukutishe kizazi cha 1900 hadi 1975 kipite ili Tanzania ipate mabadiliko.

Nasema hivyo kwa sababu kizazi hiki KILIAPA kwa mioyo yao yote kwa Mwenyezi Mungu, walisema

...Naapa, naapa, mbele za Mungu CCM nitakulinda mpaka kufaaaaa,
...Naapa, naapa, mbele za Mungu Mapinduzi nitakulinda mpaka kufaaa...

Kwa kiapo kile nina hakika mabadiliko ya kweli yatakuja kizazi hicho kitakapokwisha choote

Katika mambo yote nchi inayopitia bado kizazi hiki kimeendelea kushika kiapo chake, laana ya kiapo kile haitawaisha
Mwenyezi angesikia dua yangu Kizazi hiki angekipukutisha haraka iwezekanavyo ili tuendelee.
 
slaa, lisu, El, zitto, mbowe, mwakwembe et al

unataka wapukutike
 
Baada ya mwafrika kushindwa kujitawala ametafuta visingizio viiingi ili kuonyesha kushindwa kwake kumetokana na kundi nje ya alilomo yeye. Kuna wanaosema tatizo ni wazee, kuna wanaosema tatizo historia (utumwa), kuna wanaosema tatizo ni wakoloni kutuibia raslimali....mh, lakini wote hawa wanakwepa ukweli... mwafika haandelei kwa sababu ya uvivu... hataka kujishughulisha anataka vya kunyonga tu...
 
Duh!
Kwa namna hiyo,si bunge wala serikali kuu na pengine hata JF kuna waleta mabadiliko!

Mkuu huwezi kugeneralise hivyo,kwani kuna watu wengi wanaangukia katika kundi hilo,ambao ni wapenda mabadiliko sana. Slaa,Lissu n.k. ni baadhi ya wapenda mabadiliko. Hata hapa JF wapo wengi tu ambao wana chachu na shauku ya mabadiliko.
 
Ndio hapo sana!kuna kizazi cha 1980-1990 bado wana ujinga kama aliouzungumzia mtoa mada,kikubwa elim ya uraia watu wajitambue!
 
Baada ya mwafrika kushindwa kujitawala ametafuta visingizio viiingi ili kuonyesha kushindwa kwake kumetokana na kundi nje ya alilomo yeye. Kuna wanaosema tatizo ni wazee, kuna wanaosema tatizo historia (utumwa), kuna wanaosema tatizo ni wakoloni kutuibia raslimali....mh, lakini wote hawa wanakwepa ukweli... mwafika haandelei kwa sababu ya uvivu... hataka kujishughulisha anataka vya kunyonga tu...

umejificha nyuma ya Monitor sio. Jitokeze kesho sehemu ya kukutania kama una moyo...
 
Duh!
Kwa namna hiyo,si bunge wala serikali kuu na pengine hata JF kuna waleta mabadiliko!

Mkuu huwezi kugeneralise hivyo,kwani kuna watu wengi wanaangukia katika kundi hilo,ambao ni wapenda mabadiliko sana. Slaa,Lissu n.k. ni baadhi ya wapenda mabadiliko. Hata hapa JF wapo wengi tu ambao wana chachu na shauku ya mabadiliko.

Tazama wengi katika wale wa umri huo hawana moyo wa mabadiliko kwa kiapo kile, hawa wachache wanamezwa na wengi
 
mabadiliko yataongozwa na vijana lakini watahitaji msaada watu wazima na wazee wapenda haki na demokrasia kufikia malengo.
 
Back
Top Bottom