Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅 Haya tutaonaThis time nimefuta vyeke vyote mkuu this time nimekuwa serious sijui ntamuonea wapi tena nimemwacha aende
Kumbe na nyie mnaomilika tunda huwa mnaaachaKwakweli kashaniacha zaid ya mara tatu sasa na makosa akiwa yeye ndie anaenikosea , juzi katoka kugongwa sijamwambia chochote nilikaa kimya naongea nae kama hakuna kimetokea kitu sasa leo kakorofishana na mchizi aliemgonga kisa mm nilikuwa nampitia so alichofanya kunitumia hii sms nq mimi nilichofanya sikumjibu chochote zaidi ya kufuta kilakitu chake na kuendelea na maisha mengine. Kwakweli ningeeoa bomu japo inauma kuachwa 🥹View attachment 2311264
Alaaaaaaaah[emoji1787][emoji1787]We kausha mdau atarudi huyu na utakua ndio wakati wako wa kula tigo kilaiiiiini umalizie hasira zako.......
Dada anzisha chuo Cha ukatiriUkipata text kama hiyo sisi wakole unakausha kama hujaiona Yaan unakuwa ndo ushasepa kimyakimya.Kuna siku katajileta tena kenyewe na excuses kibao.....unamchafua balaa...*****😠
Kazaroho achana naye yupo mwingine mzuri zaidi yake mtayewezana.Kwakweli kashaniacha zaid ya mara tatu sasa na makosa akiwa yeye ndie anaenikosea , juzi katoka kugongwa sijamwambia chochote nilikaa kimya naongea nae kama hakuna kimetokea kitu sasa leo kakorofishana na mchizi aliemgonga kisa mm nilikuwa nampitia so alichofanya kunitumia hii sms nq mimi nilichofanya sikumjibu chochote zaidi ya kufuta kilakitu chake na kuendelea na maisha mengine. Kwakweli ningeeoa bomu japo inauma kuachwa 🥹View attachment 2311264
Red light ilishawaka muda mrefu, ikikuonesha usitishe uhusiano naye. Ila bado ukaendelea kuwa naye, hapo kosa kubwa ni lako. Ukiona ameshakuacha mara moja maana amekuona hufai, hata akirudi kwako jua kilochomleta ni shida na si upendo wako. Shida zikiisha basi na wewe umuhimu wako umeisha. Ndiyo ulichofanyiwa wewe, akiachana na huyo atarudi tena kwako kama mwanzo tu kwasababu keshakuona bwege nazi.Kwakweli kashaniacha zaid ya mara tatu sasa na makosa akiwa yeye ndie anaenikosea , juzi katoka kugongwa sijamwambia chochote nilikaa kimya naongea nae kama hakuna kimetokea kitu sasa leo kakorofishana na mchizi aliemgonga kisa mm nilikuwa nampitia so alichofanya kunitumia hii sms nq mimi nilichofanya sikumjibu chochote zaidi ya kufuta kilakitu chake na kuendelea na maisha mengine. Kwakweli ningeeoa bomu japo inauma kuachwa 🥹View attachment 2311264
Delta is landing...Delta 1, this is Alpha 1 reporting......
Female terrorist in sight.
Man down I repeat man down
Liverpool VPN do you copy?
TRA need to reconsider its tax base and check the possibility of tapping in the untapped sex economy, a multi-billion virgin sector!Naomba support yako
[emoji16] SUBSCRIBE TU[emoji16]
Sawa dogo languDada anzisha chuo Cha ukatiri
Wote watotoKwakweli kashaniacha zaid ya mara tatu sasa na makosa akiwa yeye ndie anaenikosea , juzi katoka kugongwa sijamwambia chochote nilikaa kimya naongea nae kama hakuna kimetokea kitu sasa leo kakorofishana na mchizi aliemgonga kisa mm nilikuwa nampitia
So alichofanya kunitumia hii sms nq mimi nilichofanya sikumjibu chochote zaidi ya kufuta kilakitu chake na kuendelea na maisha mengine. Kwakweli ningeeoa bomu japo inauma kuachwa 🥹View attachment 2311264
Mkuu Mungu anakupenda. Kumbuka Ukimwi na Homa ya Inn vumeeenea kuliko CoronaKwakweli kashaniacha zaid ya mara tatu sasa na makosa akiwa yeye ndie anaenikosea , juzi katoka kugongwa sijamwambia chochote nilikaa kimya naongea nae kama hakuna kimetokea kitu sasa leo kakorofishana na mchizi aliemgonga kisa mm nilikuwa nampitia
So alichofanya kunitumia hii sms nq mimi nilichofanya sikumjibu chochote zaidi ya kufuta kilakitu chake na kuendelea na maisha mengine. Kwakweli ningeeoa bomu japo inauma kuachwa 🥹View attachment 2311264
HeheheSubiria hata ipite wiki- wewe utarudi tu-kuna mbususu akili inatamani kuziacha lakini mwili na roho vinakataa 😅😅😅
All in all mshikaji amepona na Demu amepona pia.Ila mkuu what if huko alilkokwenda akafanikiwa, mbona kama nature ya comments nyingi ni kama wewe ndio umekula bingo na yeye anakwenda kufeli huko.
Vipi kama wewe alikuona popoma na ndio ungemlostisha ila huko alikokuwa anagongwa mambo yanakwenda kuwa mazuri yeye amependa nae anapendwa na ATAOLEWA HUKO.
Unaposema angekuwa mvumilivu ungemuoa ni kama unatumia silaha ya kumuoa, labda kuolewa na wewe sio ishu je?
Kubali tu mkuu dada wa watu kawapimeni nyie wawili na kidume mwenzio kaibuka kidedea na wewe umeonekana boya, kubali huu ukweli na kama wanavyosema wadau hasara si ajabu, tafuta mwingine usonge mbele
Delta 1, this is Alpha 1 reporting......
Female terrorist in sight.
Man down I repeat man down
Liverpool VPN do you copy?
Kwakweli kashaniacha zaid ya mara tatu sasa na makosa akiwa yeye ndie anaenikosea , juzi katoka kugongwa sijamwambia chochote nilikaa kimya naongea nae kama hakuna kimetokea kitu sasa leo kakorofishana na mchizi aliemgonga kisa mm nilikuwa nampitia
So alichofanya kunitumia hii sms nq mimi nilichofanya sikumjibu chochote zaidi ya kufuta kilakitu chake na kuendelea na maisha mengine. Kwakweli ningeeoa bomu japo inauma kuachwa 🥹View attachment 2311264
Alpha 1, this is Delta 1, we copy loud and clear.Delta 1, this is Alpha 1 reporting......
Female terrorist in sight.
Man down I repeat man down
Liverpool VPN do you copy?
NduguKwakweli kashaniacha zaid ya mara tatu sasa na makosa akiwa yeye ndie anaenikosea , juzi katoka kugongwa sijamwambia chochote nilikaa kimya naongea nae kama hakuna kimetokea kitu sasa leo kakorofishana na mchizi aliemgonga kisa mm nilikuwa nampitia
So alichofanya kunitumia hii sms nq mimi nilichofanya sikumjibu chochote zaidi ya kufuta kilakitu chake na kuendelea na maisha mengine. Kwakweli ningeeoa bomu japo inauma kuachwa 🥹View attachment 2311264