Kwakweli nilimpenda, angekuwa mvumilivu ningemuoa

Kwakweli nilimpenda, angekuwa mvumilivu ningemuoa

Muulize namba ngeni wew nani naona imekuja bila jina 😔😔😔
 
Vipi kule makambi ametoka salama?

Issue sio dhehebu..tabia
Yeah naona tabia zake ziko safi huyo ninae mtarajiwa japo nimemzidi miaka 6 na bado sijamwambia kitu nakaona ona kama katafaafaa bado naendelea kufanya upembuzi yakinifu.
 
Yeah naona tabia zake ziko safi huyo ninae mtarajiwa japo nimemzidi miaka 6 na bado sijamwambia kitu nakaona ona kama katafaafaa bado naendelea kufanya upembuzi yakinifu.
Wakati unafanya upembuzi wajanja watakuwahi
 
Mwamba kaachwa.....jikaze kiume usijibu hata hiyo msg, tafuta katoto kazuri katoto namba Dz kawe na trakko endelea na maisha achana na hiyo fisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaishakuona wewe ni POPOMA, kiazi kwake hupindui acha akupindue pindue.. Msilete uzungu uzungu kwa mijanamke haijielewi..

Treat mwanamke kwa vile anavyojileta kwako, akikuchukulia danga we mfanye malaya wako. Fanya 3 times yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah!!!
 
Sasa hapo kwa uzoefu wako nifanye nini mkuu?...au nipambane na hawa vibaka?
Kwani ana miaka mingapi tuanzie hapo, maana watoto wa miaka 16 wanamaliza form four. Sasa mtoto kama huyo unampeleka wapi ilihali hajakua
 
Angevumilia ungemuoa? Uoe mpenzi wa mtu? Wewe hauoni hapo wewe ndio ulikuwa mchepuko?
Nijuavyo mimi msichana kabla hajawekwa ndani hanaga mchumba wala rafiki ni kiasi cha kujiongeza zaidi ya boya wake na hapo unapewa ufalme🤣🤣🤣

Wenye misimamo walishakufa na corona
 
Kwani ana miaka mingapi tuanzie hapo, maana watoto wa miaka 16 wanamaliza form four. Sasa mtoto kama huyo unampeleka wapi ilihali hajakua
Anayo 19 sasa..Mimi Niko 25 nipo tayari kuoa nikimaanisha kumuhudumia kwa kila kitu, japo naweza kusubiri mpaka miaka 27-30 pia. mzee kila siku anagusia swala la kuoa mapema ndio maana nimeamua kuangalia mtu wa future kwangu kwa upande huo wa ndoa.
 
Usioe kwa pressure za watu, oa kwa sababu umepata mwenza sahihi. Hiyo wa miaka 19 bado hajakua. Ingekuwa kizazi cha zamani sawa ila wa sasa bado sana
 
Back
Top Bottom