Kwakweli nilimpenda, angekuwa mvumilivu ningemuoa

Kwakweli nilimpenda, angekuwa mvumilivu ningemuoa

Usioe kwa pressure za watu, oa kwa sababu umepata mwenza sahihi. Hiyo wa miaka 19 bado hajakua. Ingekuwa kizazi cha zamani sawa ila wa sasa bado sana
Sure mzee, nimekuelewa ila hao sahii ndio hawapo. bora huyo dogo kumwangalia mienendo yake nitapokua tayari nimchukue.
 
Aisee, amekucompromise then kaondoka...hakuna kitu ninachokithamini katika maisha Kama muda, anaanza mungu halafu unafuata muda, umepotezewa muda bure ndugu yangu,Yani mara tatu zote hizo then bado ulisubiri second chance, again hadi third chance inaonekana ulikuwa na muda mwingi sana wa kufadhili gaidi, hivi viumbe vipo kwaajili yetu sisi kwahiyo play safe, be smart kwenye mambo yako ya mahusiano la sivyo utakuwa unatupwa kila siku, wanawake ni mabingwa wa kucompromise loooh usituangushe mara nyingine...
 
Jinsi alivyoiandika hiyo meseji inaonekana kabisa wewe Ni dhaifu sana na huyo Malaya kashajua udhaifu wako utajipendekeza tu tena ulivyokua kenge
 
Umefanya uamuzi wa busara. Kama ambavyo yeye amesema.... wewe kazia mara 5 yake

Ukirudi nyuma jiandae kwa majanga
 
Kaishakuona wewe ni POPOMA, kiazi kwake hupindui acha akupindue pindue.. Msilete uzungu uzungu kwa mijanamke haijielewi..

Treat mwanamke kwa vile anavyojileta kwako, akikuchukulia danga we mfanye malaya wako. Fanya 3 times yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanamke mpaka anakuambia hivyo it means alishakuona kuwa kwake hupindui yaani ana kudrive zaidi ya gari bovu [emoji28]

Pole sana , ila kausha hivyo hivyo usijibu Hiyo Huwa ni silaha nzito sana ya kuwamaliza wanawake cuz Huwa wanapenda tension so usipo mjibu inakuwa amekosa tension aliyo tarajia toka kwako
 
Angevumilia ungemuoa? Uoe mpenzi wa mtu? Wewe hauoni hapo wewe ndio ulikuwa mchepuko?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My dear mbona watu wengi tu wanaoa/olewa na wapenzi wa watu
 
Ila mkuu what if huko alilkokwenda akafanikiwa, mbona kama nature ya comments nyingi ni kama wewe ndio umekula bingo na yeye anakwenda kufeli huko.

Vipi kama wewe alikuona popoma na ndio ungemlostisha ila huko alikokuwa anagongwa mambo yanakwenda kuwa mazuri yeye amependa nae anapendwa na ATAOLEWA HUKO.

Unaposema angekuwa mvumilivu ungemuoa ni kama unatumia silaha ya kumuoa, labda kuolewa na wewe sio ishu je?

Kubali tu mkuu dada wa watu kawapimeni nyie wawili na kidume mwenzio kaibuka kidedea na wewe umeonekana boya, kubali huu ukweli na kama wanavyosema wadau hasara si ajabu, tafuta mwingine usonge mbele
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah !!
 
Nakubari mwanangu
hii coment imekaa kibabe
mwanamke anafuata pesa
na mimi nafuata K*MA
ipo hivyo yaani
DUNIA ya sasa ukijifanya we mtu SAFI kwa wanawake watakuendesha na kukupa UCHIZI
inachotakiwa ni kukomaa nao hvyohvyo
nipe ELA nipe K*MA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila kwa kweli ujengewe mnara amegongwa bado unampitia bado unampenda wenzako missed call kadhaa tu hupokei risasi za uso[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyu aligeuzwa zuzu sio mchezo eti manzi kaliwa anajua halafu kakausha tu , Mimi Nina uwezo wa kufanya hivyo only Kwa dame ambaye simpendi hapo hata aliwe nikiwa nashuhudia siwezi ku-dought hata kidogo Ili mradi na Mimi anipe papa tuwe tuna peana utelezi maisha ya so nge , Ili nikimpenda Aisee nikijua kuwa ana ni -cheat hakuna namna tutaachana tu siwezi mvumilia
 
Kaishakuona wewe ni POPOMA, kiazi kwake hupindui acha akupindue pindue.. Msilete uzungu uzungu kwa mijanamke haijielewi..

Treat mwanamke kwa vile anavyojileta kwako, akikuchukulia danga we mfanye malaya wako. Fanya 3 times yake.
Kabisa mkuu, kama anapenda pesa

Mwite geto aliwe apewe pesa.
Ukifanya hivi hutajuta na kulia lia et ooh nampa kila kitu bado hanithamini
 
Kuna sehemu wenzetu wanafeli saana, ni mwendo wa kutembea na mwendo wa direct proportional tu
na kama watu wote wangekuwa kama wewe au mimi basi watu wasingekuwa wanauana daily,angalia mimi nimekataa kufunga ndoa ya kanisa kidogo ya sirikali naona haina mambo mengi .yaani akizingua napita hivi mambo ya kifo kitutenganishe na mtoto wa mtu sitaki!
 
Back
Top Bottom