Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkurugenzi nadhani atatumbuliwa pamoja na mkuu wa mkoa Makalla. Wameonesha very low thinking ambapo ni kinyume kabisa na matarajio ya rais wetu Dkt Samia.Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudangany...
Yeye ndiyo kawatuma kufanya huu upuuzi halafu awatumbue?Mkurugenzi nadhani atatumbuliwa pamoja na mkuu wa mkoa Makalla. Wameonesha very low thinking ambapo ni kinyume kabisa na matarajio ya rais wetu Dkt Samia. Sijui kwa nini hawamuelewi. Wanamhujumu Mama, watenguliwe haraka. Serikali inahitaji mapato ya services levy etc leo hii unaamka tu kufungia mtu sehemu ambayo anachangia wengine kupata maisha.
Sisi wa hapa jf tutaendelea kuwaweka wazi tuKila kitu cha mchongo!
Hapana kabisa hiyo ni nidhamu ya uoga na kinafiki ya Makalla na Kibamba. Huwezi fanya kitu cha ajabu namna ile cha kumchonganisha rais na wapiga kura wake. Ni sawa na issue ya IGP tuYeye ndiyo kawatuma kufanya huu upuuzi halafu awatumbue?
Kumbe kuna wakati una akili? hongeraHapana kabisa hiyo ni nidhamu ya uoga na kinafiki ya Makalla na Kibamba. Huwezi fanya kitu cha ajabu namna ile cha kumchonganisha rais na wapiga kura wake. Ni sawa na issue ya IGP tu
π π π π NAKAZIAYeye ndiyo kawatuma kufanya huu upuuzi halafu awatumbue?
Aibu sana kwa serikali ya CCM. CCM ni adui wa hakiNi kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya
View attachment 2720130
Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .
Watanganyika siyo wajinga sana .
Akiwafukuza ni tagRais Samia fukuza Mkuu wa mkoa na huyo kilomoni mkrugenzi wa Ilemela.
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya
View attachment 2720130
Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .
Watanganyika siyo wajinga sana .
Nimekupa 'Like' halafu ole wako urudi ku edit na kuweka pumba zako za kila siku, halafu watu waone nime Like utumbo.Hapana kabisa hiyo ni nidhamu ya uoga na kinafiki ya Makalla na Kibamba. Huwezi fanya kitu cha ajabu namna ile cha kumchonganisha rais na wapiga kura wake. Ni sawa na issue ya IGP tu
Sisi Chawa tunampenda Mama yetu Dkt Samia na kazi yetu ni kumfikishia nyeti zote za umbea ambazo mfumo hauwezi kumfikishia ndiyo maana siku hizi kastuka mno maana kuna kundi lilikuwa limeshaanza kumpotosha ili aharibikiwe mfano hilo kundi lilimhadaa eti rais Dkt Magufuli alikuwa mbaya na anachukiwa na watanzania ila alivyostuka ndiyo maana siku hizi humsikii vijembe mpaka aliamua kutoa zawadi kwa Dkt Magufuli, kundi lingine lilihakikisha Dkt Samia hatulii safari kila kukicha ili wapange mambo yao nao kawastukia ndiyo maana siku hizi safari za nje zimepungua ili ajionee mwenendo wa nchi na wananchi na siyo kusimuliwa.Kumbe kuna wakati una akili? hongera
Tafuteni pesa acheni kujiita chawa sababu ya njaaSisi Chawa tunampenda Mama yetu Dkt Samia na kazi yetu ni kumfikishia nyeti zote za umbea ambazo mfumo hauwezi kumfikishia ndiyo maana siku hizi kastuka mno maana kuna kundi lilikuwa limeshaanza kumpotosha ili aharibikiwe mfano hilo kundi lilimhadaa eti rais Dkt Magufuli alikuwa mbaya na anachukiwa na watanzania ila alivyostuka ndiyo maana siku hizi humsikii vijembe mpaka aliamua kutoa zawadi kwa Dkt Magufuli, kundi lingine lilihakikisha Dkt Samia hatulii safari kila kukicha ili wapange mambo yao nao kawastukia ndiyo maana siku hizi safari za nje zimepungua ili ajionee mwenendo wa nchi na wananchi na siyo kusimuliwa.
Utawala wa hovyo sn huuπ π π π NAKAZIA