Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya
Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .
Watanganyika siyo wajinga sana .