Corona2020
Senior Member
- Feb 8, 2020
- 142
- 391
Nani kakudanganya ukiwa na hiko kitu ulichoandika hapo juu ni kuwa huna deni la Kodi. Hao viongozi wa mkoa wametokota na huo ndo uhujumu uchumi wamefanya. TRA wameshawakana hawajafunga biashara.Hiyo leseni mmetuwekea kama ushahidi wa nini? Mngeweka satifiketi ya kodi kwani ndiyo inayothibitisha kama unadaiwa au haudaiwi.