Kwamba CASK BAR haikulipia leseni kwa miaka miwili ni uongo. Ushahidi huu hapa

Kwamba CASK BAR haikulipia leseni kwa miaka miwili ni uongo. Ushahidi huu hapa

Hiyo leseni mmetuwekea kama ushahidi wa nini? Mngeweka satifiketi ya kodi kwani ndiyo inayothibitisha kama unadaiwa au haudaiwi.
Nani kakudanganya ukiwa na hiko kitu ulichoandika hapo juu ni kuwa huna deni la Kodi. Hao viongozi wa mkoa wametokota na huo ndo uhujumu uchumi wamefanya. TRA wameshawakana hawajafunga biashara.
 
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudangany...
swali gumu kwa CHADEMA na wengine wote:

Hivi inakuwaje vigumu kwenu kuelewa kwamba ujinga huu ni moja ya mwendelezo wa vyama vyenu kushindwa kuwashughulikia hawa CCM?

Hamuoni hii ni moja ya mbinu zilizozoeleka miaka yote inayotumiwa na CCM kuwakandamiza nyinyi?

Kwa nini hii isiwe ajenda/shitaka muhimu mnalotalkiwa kuliwasilisha kwa wananchi walielewe vizuri, na watoe hukumu ya haki?

Mnapoteza fursa nyingi sana mnazopewa na hawa wapuuzi wa CCM, lakini hamzitumii kwa manufaa ya vyama vyenu na manufaa ya jamii nzima.
 
Kibamba buana. Ooh CASK hawajalipia leseni yao kwa miaka miwili. Hii ni nini? Leseni imelipiwa 30 June 2022 na imemalizika muda wake 29 June 2023. Kwahiyo kutoka tarehe 30 June 2023 hadi leo ni miaka miwili? Hata miezi miwili haijaisha yeye anasema ni miaka miwili. Shame.!

Halafu huyu eti ndio Msimamizi wa uchaguzi. CCM ikipata kura 200 si ataandika 2000? Kama amehesabu miezi miwili kuwa miaka miwili, atashindwa kuongezea sifuri chama chake kwenye uchaguzi? Ndio maana Bob Chacha Wangwe aliposhinda kesi ya kuzuia Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, wapenda demokrasia tulifurahia sana. Lakini tulisikitika serikali ilipokata rufaa na Wakurugenzi wakarudishiwa mamlaka ya kusimamia uchaguzi. Wakurugenzi wenyewe ni hawa akina Kibamba. Wazee wa kuongeza masifuri. Unategemea haki?

Halafu leseni yenyewe anayopigia kelele Kibamba ni ya Laki moja tu. Imagine laki ndio imeleta balaa lote hili. Laki ndio inafanya biashara ya mamilioni ifungwe. Na sio kwamba CASK wameshindwa kulipa hiyo laki, bali halmashashauri haijatoa control number. Sasa watalipaje? Ndio maana wenye akili tunasema tatizo sio laki ya leseni, tatizo ni lile bango la mkataba wa bandari. Acheni unaa. Huyo mnayefikiri mnamsaidia, kimsingi mnamharibia zaidi. Jifunzeni kubalance shobo.!
FB_IMG_1692296605201.jpg
 
Huyu Kibamba ni nani na ilikuwaje kwani? Amefunga baa ya mtu kwa sababu ya laki moja?

Au huyo mmiliki ni mfuasi au anaishabikia CHADEMA? Au amesikika akisema mkataba wa bandari haufai na Rais Samia Suluhu Hassan kafanya uhaini wa kugawa rasrimali za Tanganyika bureeee kwa waarabu wa Dubai??
 
Kibamba buana. Ooh CASK hawajalipia leseni yao kwa miaka miwili. Hii ni nini? Leseni imelipiwa 30 June 2022 na imemalizika muda wake 29 June 2023. Kwahiyo kutoka tarehe 30 June 2023 hadi leo ni miaka miwili...
Ila biashara kubwa kiasi kile kulipa Laki moja, mkurugenzi atwambie vizuri,

Categories za viwango vya lesseni ni zaidi ya 450,000/= hapo,

Wazee wa Service levy wachunguzwe ktk Hilo🙏🙏
 
swali gumu kwa CHADEMA na wengine wote:

Hivi inakuwaje vigumu kwenu kuelewa kwamba ujinga huu ni moja ya mwendelezo wa vyama vyenu kushindwa kuwashughulikia hawa CCM...
Ndio maana tumelileta JF , si kazi rahisi kupata picha ya leseni ya Bar iliyofungiwa kinyama namna hii , hizi ni jitihada
 
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya

View attachment 2720130

Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .

Watanganyika siyo wajinga sana .
Mungu atawatoa madarakani CCM kama alivyomkataa Sauli na Belshaza.

Wamkamate Mungu maana ameshaanza kuwashughulikia

RC Makalla ni mtu asiye na utu, hekima wala kaliba ya uongozi
 
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya

View attachment 2720130

Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .

Watanganyika siyo wajinga sana .

View: https://twitter.com/OleMtetezi/status/1692144093260853315?t=HkabPiv4v7TZ05i_1FjytA&s=19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongozi wa bar inawezekana hawana kosa. Pale Ilemela Idara ya Biashara unaweza kulipia ada ya leseni yako lakini ukakaa miezi minne bila kupewa leseni huku ukiambiwa subiri leseni bado.
 
Back
Top Bottom