Corona2020
Senior Member
- Feb 8, 2020
- 142
- 391
Nani kakudanganya ukiwa na hiko kitu ulichoandika hapo juu ni kuwa huna deni la Kodi. Hao viongozi wa mkoa wametokota na huo ndo uhujumu uchumi wamefanya. TRA wameshawakana hawajafunga biashara.Hiyo leseni mmetuwekea kama ushahidi wa nini? Mngeweka satifiketi ya kodi kwani ndiyo inayothibitisha kama unadaiwa au haudaiwi.
swali gumu kwa CHADEMA na wengine wote:Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudangany...
Ila biashara kubwa kiasi kile kulipa Laki moja, mkurugenzi atwambie vizuri,Kibamba buana. Ooh CASK hawajalipia leseni yao kwa miaka miwili. Hii ni nini? Leseni imelipiwa 30 June 2022 na imemalizika muda wake 29 June 2023. Kwahiyo kutoka tarehe 30 June 2023 hadi leo ni miaka miwili...
Ndio maana tumelileta JF , si kazi rahisi kupata picha ya leseni ya Bar iliyofungiwa kinyama namna hii , hizi ni jitihadaswali gumu kwa CHADEMA na wengine wote:
Hivi inakuwaje vigumu kwenu kuelewa kwamba ujinga huu ni moja ya mwendelezo wa vyama vyenu kushindwa kuwashughulikia hawa CCM...
Nilichokiandika hakihusu wamachinga.Nani kakudanganya ukiwa na hiko kitu ulichoandika hapo juu ni kuwa huna deni la Kodi. Hao viongozi wa mkoa wametokota na huo ndo uhujumu uchumi wamefanya. TRA wameshawakana hawajafunga biashara.
Safari hii mnapewa fursa na CCM kujenga hoja kwa wananchi waelimike, sijui mtaanzia wapi kwa kweli, maanake ni nyingi mno!Ndio maana tumelileta JF , si kazi rahisi kupata picha ya leseni ya Bar iliyofungiwa kinyama namna hii , hizi ni jitihada
Mungu atawatoa madarakani CCM kama alivyomkataa Sauli na Belshaza.Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya
View attachment 2720130
Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar hii ilifungiwa baada ya mteja mmoja kupeperusha hewani tangazo la kuokoa Bandari zetu , jambo ambalo Watawala wa Tanzania hawataki kulisikia .
Watanganyika siyo wajinga sana .
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya