Kwamba mnaomba marais wote wanaoua raia wasio na makosa wachukuliwe kama Maduro?

Kwamba mnaomba marais wote wanaoua raia wasio na makosa wachukuliwe kama Maduro?

Hii ni hatari sana.

Mmefikia hatua mbaya sana. Yaani mnataka Afrika isaidiwe na mmarekani ili madikteta wote wag'olewe kwa nguvu kama ilivyotokea kwa Maduro?

...
...
Hebu acha kutujazia upumbavu humu , Hii nayo ni mada ya kujadiili watu wazima wenye akili timamu ? , hivi wewe majitu mauaji makatili yanayotawala kimabavu Huku yakifanya uhalifu dhidi ya binadamu ,ufisadi na kuharibu chaguzi ...Haya mataahira yana faida gani kwa Africa ah Tanzania ? ,Hivi wewe na tope kichwani humo huna common sense ? ,huyu Malaya samia na vibaka wake wameua maelfu ya watanganyika nipe sababu ya yeye kutonyakuliwa na kupelekwa kuwajibishwa , kwanini asifanyiwe hivyo ?
 
Tena Trump aanze hiyo operation usiku wa Leo ,kunyakua hawa vibaka wote wa Tanzania wanaojiita serikali kum be wahalifu na wauaji majambazi kabisa
Hii ni hatari sana.

Mmefikia hatua mbaya sana. Yaani mnataka Afrika isaidiwe na mmarekani ili madikteta wote wag'olewe kwa nguvu kama ilivyotokea kwa Maduro?

...
...
 
Yaani ni kama US ametukosea sana, hiki kitendo cha kukalia kimya sijui kutoingilia mambo ya ndani ndio kumechangia hawa wahuni kukaa madarakani kwa kupora chaguzi na kufanya mauaji, ni kisha kuja kutema dharau kwa mataifa makubwa.

US anatakiwa asimame kwenye nafasi yake, maana kuna nchi zimeanza kuvimba vichwa eti kuna Russia na China, kisa hawahoji tawala za kikatili. US ndio UN, inatakiwa aingilie kila nchi kwenye demokrasia, ukileta upuuzi wanakchomoa faster, wakifanya hivyo watafanya dunia kuwa sehemu salama kwa wanadamu wengi.
Stuxnet HAYA LAND HOV stakehigh
 
Hebu nipe sababu tano kwanini mtu anayeua wananchi au waandamanaji 2,000 asitolewe madarakani?

Uje na points za kueleweka!

Kama wao waliomba msaada kutoka Uganda, kuna shida gani wananchi kuomba msaada kutoka Marekani?
Unanionea bure. Sijatetea mauaji ya raia wasio na hatia
 
Yaani ni kama US ametukosea sana, hiki kitendo cha kukalia kimya sijui kutoingilia mambo ya ndani ndio kumechangia hawa wahuni kukaa madarakani kwa kupora chaguzi na kufanya mauaji, ni kisha kuja kutema dharau kwa mataifa makubwa.

US anatakiwa asimame kwenye nafasi yake, maana kuna nchi zimeanza kuvimba vichwa eti kuna Russia na China, kisa hawahoji tawala za kikatili. US ndio UN, inatakiwa aingilie kila nchi kwenye demokrasia, ukileta upuuzi wanakchomoa faster, wakifanya hivyo watafanya dunia kuwa sehemu salama kwa wanadamu wengi.
Stuxnet HAYA LAND HOV stakehigh
Kwamba eti 🤣 🤣 🤣 , naona hung over haijaisha! sio venezuela uku
 
Moja ya mambo ambayo mimi binafsi huwa naombea yatokee hata leo hii ni pamoja na hili la serikali ya US kuingilia siasa zetu za ndani kwa maana ya kuiondoa kabisa hii serikali haramu na yule shetani wa kike waende naye Guantanamo.
 
Back
Top Bottom