Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga?

Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa wananufaika na Bandari na kwamba wanatumia nguvu kubwa kuwahonga wananchi kupinga nia nzuri ya serikali.

Nini mtizamo wako kuhusu version mpya ya utetezi iliyoanzishwa na serikali? Hao wanaohonga ni wakina nani? Niwatanzania wenzetu? Kwanini serikali inashindwa kuwashtaki Kisutu? Je, wakishindwa kuwapeleka Kisutu watawezana na huyu bwana mwenye mkataba wakwenda kuishtakiwa Uingereza au South Afrika?

Kila siku tunatiwa hatiani huko ulimwenguni je tunapokwenda kumwabudu binadamu aitwaye DP World tutamdhibiti vipi asihonge?
 
Pengo
Kitima
Bagonza ..
Hawahitaji kuhongwa ...wao Wana uadui wa kiimani na waarabu....

Shivji haihitaji kuhongwa,Shivji ni Communist ndo maana wala hasemi mkataba urekebishwe ..anasema serikali ifanye kazi hiyo...haelewi dunia ya sasa hata serikali za Uingereza na Ujerumani zimebinafsisha bandari...
Shivji kabaki Karne ya 20...ya kina Nyerere na Mao Zedong...na Lenin ..

Warioba na Butiku wanahitaji anything wawe relevant....hawa ni wazee wa Karne ya 20... Hardliners conservative...wafuasi wa Nyerere....
Hawa wote wanaongea wanayo yaamini huku Karamagi akiwalainisha na kuwapa nguvu financially
 
Na hao waTanzania wengine wanaosoma nyaraka ya "Makubaliano" na kuielewa kwa uovu uliomo humo ndani unawaweka fungu gani?

Sawa, tukubali akina Pengo na wenzake, umesema "hawahitaji kuhongwa...wao wana uadui wa kiimani na waarabu"; na wewe je?
Huhitaji kuhongwa kwa vile una urafiki na waarabu; kwa kushinda kutwa ukitetea kila kitu ambacho wengine wanaona kina kasoro?
 
Pengo
Kitima
Bagonza ..
Hawahitaji kuhongwa ...wao Wana uadui wa kiimani na waarabu....

Shivji haihitaji kuhongwa,Shivji ni Communist ndo maana wala hasemi mkataba urekebishwe ..anasema serikali ifanye kazi hiyo...haelewi dunia ya sasa hata serikali za Uingereza na Ujerumani zimebinafsisha bandari...
Shivji kabaki Karne ya 20...ya kina Nyerere na Mao Zedong...na Lenin ..

Warioba na Butiku wanahitaji anything wawe relevant....hawa ni wazee wa Karne ya 20... Hardliners conservative...wafuasi wa Nyerere....
Hawa wote wanaongea wanayo yaamini huku Karamagi akiwalainisha na kuwapa nguvu financially
Samia yupo karne ya 17 huko.

Nashindwa kuelewa sijui ni yeye hajui uchumi au ni wasaidizi wake!!
 
Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga?

Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa wananufaika na Bandari na kwamba wanatumia nguvu kubwa kuwahonga wananchi kupinga nia nzuri ya serikali.

Nini mtizamo wako kuhusu version mpya ya utetezi iliyoanzishwa na serikali? Hao wanaohonga ni wakina nani? Niwatanzania wenzetu? Kwanini serikali inashindwa kuwashtaki Kisutu? Je, wakishindwa kuwapeleka Kisutu watawezana na huyu bwana mwenye mkataba wakwenda kuishtakiwa Uingereza au South Afrika?

Kila siku tunatiwa hatiani huko ulimwenguni je tunapokwenda kumwabudu binadamu aitwaye DP World tutamdhibiti vipi asihonge?
Hii inaitwa CHOCHEA KUNI
 
Samia yupo karne ya 17 huko.

Nashindwa kuelewa sijui ni yeye hajui uchumi au ni wasaidizi wake!!
Hata kama ni wasaidizi wake yeye Hana akili? Yeye Hana mamlaka ya kubatilisha anachoona hakiko sawa? Sema ameamua tu kuwakabidhi wajomba zake Mali za Tanganyika ijulikane bhas na watanzania bara hawapo tayari kuona hilo likifanyika pasipo maslahi ya nchi kuwekwa bayana.
Watanzania bara wa sasa ni tofauti na wale walioko kipindi cha Mwinyi akiwa raisi wa JMT hii ileweke.
 
Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga?

Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa wananufaika na Bandari na kwamba wanatumia nguvu kubwa kuwahonga wananchi kupinga nia nzuri ya serikali.

Nini mtizamo wako kuhusu version mpya ya utetezi iliyoanzishwa na serikali? Hao wanaohonga ni wakina nani? Niwatanzania wenzetu? Kwanini serikali inashindwa kuwashtaki Kisutu? Je, wakishindwa kuwapeleka Kisutu watawezana na huyu bwana mwenye mkataba wakwenda kuishtakiwa Uingereza au South Afrika?

Kila siku tunatiwa hatiani huko ulimwenguni je tunapokwenda kumwabudu binadamu aitwaye DP World tutamdhibiti vipi asihonge?
Wanaowaita hao wazee wenye heshima zao kwamba ni wezi, wao ndo wezi.
 
KILA ZAMA NA KITABU CHAKE,WAO WALIKUWA NA NYAKATI ZAO NA MADUDU YAO YA WAKATI ULE,TANGANYIKA PACKERS IPO WAPI?,VIWANDA VYOTE 25 VIPO WAPI?,WAMWACHE RAIS WETU AFANYE KAZI YAKE WAACHE KUWASHWA WASHWA!😁😁😁
#Makonda huwa anawajulia sana wazee wa aina hii 😁😁😁
 
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku
Hawa wazee wetu wanahongwaje na watu wa bandari?
Hizo hongo zamani sana wangepata popote wangetaka.
Wametoa maoni yao tu km wananchi wa kawaida.
Mzee Butiku kasema kabisa anaongea km yeye mwananchi.
Hajahusisha hata taasisi anayosimamia.
Hata Dr Slaa kaongea tu km yeye anachowaza.
Ni maoni ya kawaida tu kuhusu hilo jambo.
Tuwe na heshima kidogo.
 
Pengo
Kitima
Bagonza ..
Hawahitaji kuhongwa ...wao Wana uadui wa kiimani na waarabu....

Shivji haihitaji kuhongwa,Shivji ni Communist ndo maana wala hasemi mkataba urekebishwe ..anasema serikali ifanye kazi hiyo...haelewi dunia ya sasa hata serikali za Uingereza na Ujerumani zimebinafsisha bandari...
Shivji kabaki Karne ya 20...ya kina Nyerere na Mao Zedong...na Lenin ..

Warioba na Butiku wanahitaji anything wawe relevant....hawa ni wazee wa Karne ya 20... Hardliners conservative...wafuasi wa Nyerere....
Hawa wote wanaongea wanayo yaamini huku Karamagi akiwalainisha na kuwapa nguvu financially
Rushwa inapunguza uwezo wa kufikiri. inapunguza utu na heshima ya mpokeaji.
Mtu kama wewe siyo wa kutetea mambo ya ajabu kama makubaliano haya ya kukabidhi bandari , ardhi, n.k. kwa DP World.
Unaujuwa ukweli tatizo siyo kuwapa wawekezaji bandari, tatizo siyo DP World bali kilicho andikwa kwenye mkataba/makubaliano.
 
Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga?

Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa wananufaika na Bandari na kwamba wanatumia nguvu kubwa kuwahonga wananchi kupinga nia nzuri ya serikali.

Nini mtizamo wako kuhusu version mpya ya utetezi iliyoanzishwa na serikali? Hao wanaohonga ni wakina nani? Niwatanzania wenzetu? Kwanini serikali inashindwa kuwashtaki Kisutu? Je, wakishindwa kuwapeleka Kisutu watawezana na huyu bwana mwenye mkataba wakwenda kuishtakiwa Uingereza au South Afrika?

Kila siku tunatiwa hatiani huko ulimwenguni je tunapokwenda kumwabudu binadamu aitwaye DP World tutamdhibiti vipi asihonge?
Hao sasa hivi hawajielewi wamechanganyikiwa
 
Pengo mnufaika wa kwanza, hao wengine wameshazeeka na wwananukuliwa vibaya na au wanaongozwa wajibu nini na waandidhi walionunuliwa.
Tatizo mkataba wala siyo uwekezaji. Kila mtu anautaka uwekezaji.

Unaposaini draft yenye masharti mabaya nawe nia yako si nzuri. Bahati mbaya wananchi wa nchi hii wamepandikiziwa uoga juu ya serikali yao. Otherwise...
 
Hakuna mkataba wowote wa uendeshaji bandari uliosainiwa, ndiyo kwanza makampuni yanashindanishwa na TPA, vijana wanajilia mihela tu huko kila wanapochelewesha.
 
Ukitaka kujua ufisadi/uhujumu uliopangwa na akina Samia na genge zima, fuatlia mambo yalivyofanyika toka mwanzo wa 'deal' hili la DP World, hadi IGA ilipowasilishwa Bungeni na sarakasi zote zilizofanyika huko huko Bungeni.
N
Na hata walipokwishaambiwa kuwa ufisadi wao umegundulika, utaona njia za hovyo wanazotumia kuendelea kusukuma uhujumu huu kwa nchi yao.

Mambo yote yaliyofanyika kuhusu dili hili inaonyesha wazi huu ni mpango mahususi ulioandaliwa kupitishwa kwa njia yoyote ile.
Na bado huenda tutaona mengi mengine ambayo bado hayafahamiki.

Kwa hili Samia kaingia kichwa kichwa, sijui kwa kujiamini kuwa yeye ni rais, kwa hiyo hakuna linaloshindikana kwake, au labda ni kwa kudhani waTanzania ni wajinga na watakubali lolote linalosukumwa na rais..

Kakosea sana.
 
Wewe kawadanganye wajinga wenzio.

Kuna ufisadi bandarini zaidi ya aliouibiwa mama Samia Suluhu?
 
Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga?

Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa wananufaika na Bandari na kwamba wanatumia nguvu kubwa kuwahonga wananchi kupinga nia nzuri ya serikali.

Nini mtizamo wako kuhusu version mpya ya utetezi iliyoanzishwa na serikali? Hao wanaohonga ni wakina nani? Niwatanzania wenzetu? Kwanini serikali inashindwa kuwashtaki Kisutu? Je, wakishindwa kuwapeleka Kisutu watawezana na huyu bwana mwenye mkataba wakwenda kuishtakiwa Uingereza au South Afrika?

Kila siku tunatiwa hatiani huko ulimwenguni je tunapokwenda kumwabudu binadamu aitwaye DP World tutamdhibiti vipi asihonge?
Hata kama hawajalipwa ,hao ni Wajamaa minded people ambao hawanaga Msaada wowote Wala hawajui uchumi zaidi ya kuongozaa Kwa hisia na propaganda..

Sasa hao wazee Wana nini Cha kuonesha Kwa miaka Yao yote ya utumishi ikiwa hadi.leo hii madawati na vyoo viliwashinda?

Wakae Kwa kutumia wafundishwe Uchumi wa kuwafanyia Wananchi matajiri,hao ni aina ya watu wanaotaka wenzao wazisi kuwa maskini Ili wao waendee kuwatawal.
 
Back
Top Bottom