Kwamba Polepole atapotea na kusahaulika hivihivi? Watanzania tutakuwa wanyonge namna hii mpaka lini?

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Najaribu kuwaza ingekuwa Kenya, ambapo kijana mmoja tu aliuawa na polisi, maelfu ya raia wakajitokeza kuandamana mpaka haki ikatendeka,

Najaribu kuwaza tangu alipotekwa Kibao, siku ileile wote walipohusika walitakiwa wawajibishwe ila wasilete tena madhara!

Ila cha kushangaza Watanzania wameendelea tu na maisha kama hakuna kilichotokea, najaribu kuwaza ingekuwa Kenya ingekuwaje? Oooh Tanzania.

WAKE UP!

NB;
Polepole amefanya kosa gani? Kuongea ukweli? Kutoa hoja zinazotofautiana na watawala? Kama ni makosa kwanini hajafikishwa kwenye vyombo vya haki?
 
ETi wanasubiri hadi ifike trh 29, oktoba. Kuna logic nyingine ni za kipumbavu sijawahi kuona.
 
Kizazi hiki kingekuwepo kipindi cha mkoroni Hakika tungekuwa Bado tunatawaliwa na wazungu
 
Polepole ni karma imemfikia,
Watu wakumbuke ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga.

Hii iwe fundisho kwa wanaoona madaraka ni kitu cha kudumu
 
NB;
Polepole amefanya kosa gani? Kuongea ukweli? Kutoa hoja zinazotofautiana na watawala? Kama ni makosa kwanini hajafikishwa kwenye vyombo vya haki?
Mwafwele amerudishe HP akiwa anapumua asituletee maiti tafadhari tunamtaka akiwa anapumua
 
Back
Top Bottom