Kwamba Polepole atapotea na kusahaulika hivihivi? Watanzania tutakuwa wanyonge namna hii mpaka lini?

Leo for the first time in your life, toka mtandaoni JF na nenda nje hapo mtaani kwako na uliza wapita njia, average Tanzanian citizens kama wanamjua kiumbe Polepole aliyetekwa.

Nakuhakikishia hutopata hata wawili. Hivyo unaposema Watanzania tambua majority wako hivyo. JF ni Echo Chamber na utasikia ukitakacho.
 
Kwanza nimekuelewa.
Na Pili Kabla ya kusema haya ungetafakar ww uko wap na wanaokuzunguka ni kina nani?.
Na ungefikiria pia aliyetoa hoja anaweza kuzungukwa na watu wa namna gani mpaka akajipa kipimo na akasema hivyo.

Mfano Mm nazungukwa na watu wanaoelewa hizi Siasa.
Na kuna wale watu wanazungukwa na ambao hizi siasa haziwasumbui. Ni tofauti.

Kama huko ulipo na hauna ushawishi kwa kuwaelezea Raia ambao hawamjui Polepole . Na nn alikuwa anakisanua. Bas utulie. Maana Na ww ni Kund sawa na ulionao.
 
Good deduction lakini umejichanganya kidogo.

Uko sahihi na hicho ndicho nilicho maanisha. Na ndio maana nikasema Echo Chambers, kwamba "umezungukwa na watu" wenye muono mmoja na kushindwa kuona nje ya hapo, kiasi cha kudhani ulimwengu wote upo kama nyie. Kitu ambacho sio kweli, au wewe unadhani ni kweli?

Na hiyo ndiyo sababu nikamwambia atoke nje ya "watu waliomzunguka" na "JF," ambayo nayo ni moja ya Echo Chambers, na aangalie "Average Tanzanian Citizens" ambao kiuhalisia ndio "Majority." Hivyo nakusii na wewe ufanye hichohicho nilichomwambia mleta mada.

Uhalisia ni kwamba some Echo Chambers are bigger than others. Mimi? Well, mimi naangalia maisha from an objective and logical point of view. Nipo nje ya Echo Chambers. Ndio njia pekee ya kuona uhalisia huo. Hivyo naweza nikawa nimezungukwa na Echo Chamber yoyote kati ya hizo mbili na isilete tofauti kwenye muono wangu.

Do I have to make it simpler?
 
Umedadavua kiurahisi na kiuhalisia zaidi.
Na Nimekuelewa.

Mkaa wa mawe naomba sasa nitetee Hoja yangu .
Mfano Uko kazin. Umezungukwa na watu ambao wanapinga hizi mambo.
Pia tuna magroup whatsapp. Ya O Level. A Level na Vyuo na Magroup mengine ya jamii na wao pia wanapinga hizi mambo. Na wote kwa % kubwa. Maana najua wapo ambao hawayagusi au hawakereki.

Nadhan wanaokomboa nchi ni Elite people na Vijana wenye maono.

Tukitoka mtaan kuna wale ambao wameshaamua liwalo na liwe.
Tukiwa kama wao. Hata uhuru tusingepata.
Nyerere alikuwa Elite. Na wenzakr wengi na ndio walitukomboa.

Kuna umuhimu wa kumuelewesha yule ambae haelewi. Kiutaratibu.

Kwasababu Each one can Teach One.
 
Umesema ukweli na uko sahihi kwamba wachache wenye maono au "elite people" mara nyingi ndio huleta mabadiliko. Lakini ukiangalia kiundani zaidi utaona kwamba "mabadiliko" hayafanani, kuna yanayohitaji watu wachache na yanayohitaji wengi. Mabadiliko aliyoleta Hayati Nyerere yalihitaji wawakilishi wachache kutoka Tanzania dhidi ya Waingereza ambao walishika hatamu yao na walikuwa sensible enough with everything included kuwapa Uhuru.

Sababu ya mimi kugusia zaidi the "Majority" kwenye kesi hii ni kwamba "mabadiliko" haya yanategemea wingi wa watu ili kufanikiwa. Ni Demokrasia, neno la kigiriki "Demos" for "People" and "Kratos" for "Rule," ukiunganisha unapata Rule by the People, au kwa Kiswahili Utawala wa Watu. Chini ya mfumo wa Demokrasia, watu wote wapo sawa, haijalishi ni elites au illiterates, na "Wingi" ndio njia pekee ya "Ushindi."

Unfortunately au kwa bahati mbaya kubwa, Watanzania kama wewe ni wachache sana na wengi waliobaki ndio wenye maamuzi.

Njia nyingine ya kuleta mabadiliko hapa Tanzania ni Maandamano, ambayo nayo yanahitaji "Wingi" wa watu vilevile.

Kuhusu kuelewesha watu ni kitu sensible pia. Lakini tatizo sio kuelewesha watu tu, tatizo ni watu wengi hawataki kabisa kueleweshwa, sababu haya mambo sio priority kabisa kwao.

Hivyo sio kwamba mimi siungi mkono juhudi za kutaka mabadiliko, la hasha. Bali kiuhalisia "kwa sasa," ukiondoa Muda, hakuna njia nyingine ya kuleta mabadiliko yanayohitajika. Kama ipo basi nitakuwa siijui na itakuwa vyema ukiilezea.

Hii quote ni good summarization "The best argument against democracy is a five-minute conversation with the average voter."
 
Najaribu kuwaza ingekuwa Kenya, ambapo kijana mmoja tu aliuawa na polisi, maelfu ya raia wakajitokeza kuandamana mpaka haki ikatendeka,

Najaribu kuwaza tangu alipotekwa Kibao, siku ileile wote walipohusika walitakiwa wawajibishwe ila wasilete tena madhara!

Ila cha kushangaza Watanzania wameendelea tu na maisha kama hakuna kilichotokea, najaribu kuwaza ingekuwa Kenya ingekuwaje? Oooh Tanzania.

WAKE UP!

NB;
Polepole amefanya kosa gani? Kuongea ukweli? Kutoa hoja zinazotofautiana na watawala? Kama ni makosa kwanini hajafikishwa kwenye vyombo vya haki?
Augustino Polepole atusaidie. Alimuona mtekaji. Lakini pia anamuona Polepole kila anapoenda kupitia Chip aliyowekewa. Shime Wa-Tanzania tuhakikishe tunampata A. Polepole
 
Back
Top Bottom