BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ridhiwani ana uwezo gani wa kuhakikisha vijana wanapata ajira? Yeye ndio mtunga sera za nchi? ndio mpanga mipango ya hii nchi?
1. Ajira za Vijana ziko kwenye yale ma V8 ya anasa.
2. Ajira za vijana zipo kwenye zile ajira Raisi anafanya recyceling kana kwamba kuna watu walizaliwa wao tu kupewa vyeo.
3. Ajira za vijana ziko kwenye zile ajira za upendeleo zinazo tuolewa kwa kujuana.
4. Ajira za vijana ziko kwenye sera mbaya za kipuuzi ambako wawekezaji wanakuja hadi na walinzi wao kutoka nje, wanakuja na Gadener wao.
5. Ajira za vijana ziko kwenye zile pesa zinazopigwa kila ikisomwa report ya CAG.
6. Ajira za vijana ziko kwenye Matumizi ya anasa ya serikali hii, safari zisizo kuwa na tija na zenye msafara mikubwa ya isio kuwa na tija.
7. Ajira za vijana ziko kwenye wale watu ambao wameisha toka kimaisha wanao gharamaikiwa na Serikali kwenda Korea kusini na kwingineko kuonyesha ujinga ujinga tu.
8. Ajira za vijana ziko kwenye Sera mbovu ya kukumbatia uchumi wa uchuuzi, uchumi wa Frame za maduka, badala ya uchumi wa uzalishaji mali, Uchumi wa kuchuuza mali za wachina hauwezi toa ajira kwa vinana, Uchumi wa uzalishaji mali ndio unaweza toa ajira.
Raisi aache hadaa kudanganya wadanganyika kwamba Ridhiwani anaweza fanya juu chini vijana wakapata ajira, labda ajira za Uchawa.
Sera za hii nchi ndio chanjo cha tatizo la ajira na ngojeeni hadi tatizo la ajira lije kufikie levo za kuwa halidhibitiki haoo mtajua hamjui.