Kwamba Raisi anamuagiza Ridhiwani ahakikishe vijana wanapata ajira?How? kwa sera zipi? Ridhiwani anakusanya kodi?

Haaa mbona yupo sahihi tu ajira za kuuza ngada zitakuwa nyingi sana .
 
Na riziwani na yeye amemkubalia hili mm nikapinga hapohapo..
 
Namba 8 imewasilisha yote.
Lazima kujenga fikra za kuzalisha bidhaa na huduma kutokana na malighafi za asili badala ya kutegemea nje.
Kinachofanyika siasa hivi ni kujenga uchumi na ajira kwa wachina na mataifa mengine ya ng'ambo.
 
Ulimsikiliza Mama wakati anatoa hayo maagizo? Hukumsikiliza , nenda kasikilize maagizo aliyopewa ili upunguze upumbavu na kuongeza uerevu.
Chawa huu sio muda wakupigiana porojo za kisiasa.
 
Umenyoosha mzee🙌
 
Kasome ilani ya uchaguzi ya CCM utaelewa sera zipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…