Kwamba Zanzibar kuwa majike mazuri zaidi yenye macho kama anasinzia ?

Kwamba Zanzibar kuwa majike mazuri zaidi yenye macho kama anasinzia ?

Siri yangu

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2023
Posts
2,252
Reaction score
4,839
kurekodiwa, huenda ukiwa umechochewa na mabadiliko ya tabia nchi, wanasayansi wanasema.

Alionekana katika bahari ya pasifiki karibu na Colombia mwaka 2017, kisha kuzuka tena miaka kadhaa baadaye kisiwani Zanzibar katika bahari hindi - umbali wa kilomita 13,000.

Wataalam wanaamini kuwa safari hii kubwa inaweza kuwa imesababishwa na mabadiliko ya tabia nchi yanayosababisha kupungua kwa hifadhi za chakula au safari ya kutafuta wenza.

Ekaterina Kalashnikova kutoka kwa programu ya mamalia wa baharini Tanzania alisema kwamba tukio hili ni ''la kushangaza na la kipekee hata kwa aina hii ya wanyama wanaohama sana''.

Picha inayofuata hapa chini inaonyesha nyangumi wa nundu aliyepigwa picha mwaka 2022, katika pwani ya Zanzibar.


96062.jpg


Source: BBC Swahili
 
Sishangai. Miaka yangu ya ujana Kuna chuda mmoja kwa sasa ni mama wa watoto watatu alikuwa akisafiri kutoka ujerumani kuja Tanzania kuniletea kitumbua chake nikichakate, na alifanya hivo zaidi ya mara tano
 
Back
Top Bottom