Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 2,252
- 4,839
Wanasayansi kuna muda wanatupiga sana!Umbali wa kusafiri sio shida wanaweza kuwa na vipimo vyao. Lakini kusema amekuja kutafuta mademu! Hapo ndio ninapojiuliza wamejuaje?
Hahahahaha basi nimeachana naeMalaya tuuu achana nae mxiiiiuuu.
Hatari sana hizi ni kamba kabisaaUmbali wa kusafiri sio shida wanaweza kuwa na vipimo vyao. Lakini kusema amekuja kutafuta mademu! Hapo ndio ninapojiuliza wamejuaje?
Ndio uvuke bahari tatu kisa utamu wa Zanzibar mkuuAchana na kitu kinaitwa utamu, popote ulipo unaweza ufata
Mm nilipita katikat ya makaburi saa tisa usiku kufuata K TU sembuse Bahar 3Ndio uvuke bahari tatu kisa utamu wa Zanzibar mkuu
Duuh mkuu nawe sio wa kidogoMm nilipita katikat ya makaburi saa tisa usiku kufuata K TU sembuse Bahar 3
Kama nani kwa mfanoZanzibar kuna wanawake BIKRA
🤣🤣🤣
Na bado ukamuacha au?Sishangai. Miaka yangu ya ujana Kuna chuda mmoja kwa sasa ni mama wa watoto watatu alikuwa akisafiri kutoka ujerumani kuja Tanzania kuniletea kitumbua chake nikichakate, na alifanya hivo zaidi ya mara tano
🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti🙌🏾Malaya tuuu achana nae mxiiiiuuu.
Teh teh hata miye nikisoma najichekea tuu yani. Alafu nawafananisha na wale jamaa wanaokuwa km nyangumi huyo.🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti🙌🏾
Ndio hivo nduguNa bado ukamuacha au?