Kwamba zoezi la kuitafuta ndege iliyopotea pori la akiba Selous limesitishwa

Ndio umeambiwa satellite hiyo inatafuta ndege zilizopotea?
Kwanza nafarijika kuona kuwa umejifunza kitu, kitu ambacho ulikuwa hujui.
Pili ningekuomba urudie kupitia comments zote kwenye uzi huu ili uelewe satellite 🛰️ imeingiaje kwenye mjadala.... Tutaelewana tu!.
 
Kwanza nafarijika kuona kuwa umejifunza kitu, kitu ambacho ulikuwa hujui.
Pili ningekuomba urudie kupitia comments zote kwenye uzi huu ili uelewe satellite [emoji2930] imeingiaje kwenye mjadala.... Tutaelewana tu!.
Mzee umeingia mkenge. Pale Rwanda hakuna satellite ya kufanya lolote la maana, hata Ghana wanayo ila hizi ni junks uko space. Hawana systems kama Galilleo, GPS, Beidou au GLONAS wanatujazia takataka uko juu ili nao waonekane wamo. Na kingine hakuna satellite inatafuta ndege zilizopotea, acha ushamba.
 
Satellite haitafuti ndege ndio, Lakini akili iliyotumika kuiweka angani hata kama ni Junk kama ulivyokariri siku nzima ndiyo inayoweza kutumika kubaini kilichoko kwenye ardhi.
Nagundua kuwa bado mchanga sana kwenye elimu hii, ingawa unajitahidi kukariri kila kinachoihusu anga bila kuelewa. Uwe na siku njema.
 
Satellite haitafuti ndege ndio, Lakini akili iliyotumika kuiweka angani hata kama ni Junk kama ulivyokariri siku nzima ndiyo unayoweza kutumika kubaini kilichoko kwenye ardhi.
Nagundua kuwa bado mchanga sana kwenye elimu hii, ingawa unajitahidi kukariri kila kinachoihusu anga bila kuelewa. Uwe na siku njema.
Ewaah sasa akili zimekukaa na tunaongea lugha moja. Rwanda hawana satellite ya kutafuta ndege iliyopotea kama ulivyosema mwanzo. Period!
 
Rwanda wana satelite angani, kama tuko nao vizuri sasa tusione aibu kuomba huduma yao ili kitendawili cha kupotea ndege hiyo kitenguliwe. [emoji848]
Si kila satellite ina ona vitu
 
Mzee umeingia mkenge. Pale Rwanda hakuna satellite ya kufanya lolote la maana, hata Ghana wanayo ila hizi ni junks uko space. Hawana systems kama Galilleo, GPS, Beidou au GLONAS wanatujazia takataka uko juu ili nao waonekane wamo. Na kingine hakuna satellite inatafuta ndege zilizopotea, acha ushamba.
Labda ya Rwanda ni geresha au weather satellite
 
Hiyo ni ya internet kusaidia data kwa ujumla. Weather satellite ngumu na gharama inahitaji sensors nyingi na makorokoro mengine pale ground
 
Kwani ile Stevenson box haiwezi kuona ndege iliyopotea?
 
I hope unatania. Stevenson box niliisoma primary uko kwenye topic ya weather. Hata milioni moja ni nyingi kuitengeneza hiyo hapo nyumbani kwako
 
Ndege nyingi za mashirika ni chakavu na za muda mrefu.
 
Sijui hamuelewi kuna rubani ni mtanzania mwezetu inabidi tujue yupo wapi na anaendeleaje.?ndio maana ni muhimu kupatikana.
Jamaa tulisoma nae advance pale Milambo High School alichua PGM class of 2009-2011
 
I hope unatania. Stevenson box niliisoma primary uko kwenye topic ya weather. Hata milioni moja ni nyingi kuitengeneza hiyo hapo nyumbani kwako
Nakumbuka importance of Stevenson screen moja wapo ni hiyo
 
Back
Top Bottom