T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Ndio umeambiwa satellite hiyo inatafuta ndege zilizopotea?Sioni mantiki ya TBC na Magufuli kuingizwa kwenye mjadala huu kwani sio lengo la hoja. Hebu pitia hii habari, inawezekana hukuwahi kuisikia.https://Africanews.space/Rwandas-first-satellite-in-space-set-for-release-from-ISS/
Kwanza nafarijika kuona kuwa umejifunza kitu, kitu ambacho ulikuwa hujui.Ndio umeambiwa satellite hiyo inatafuta ndege zilizopotea?
Mzee umeingia mkenge. Pale Rwanda hakuna satellite ya kufanya lolote la maana, hata Ghana wanayo ila hizi ni junks uko space. Hawana systems kama Galilleo, GPS, Beidou au GLONAS wanatujazia takataka uko juu ili nao waonekane wamo. Na kingine hakuna satellite inatafuta ndege zilizopotea, acha ushamba.Kwanza nafarijika kuona kuwa umejifunza kitu, kitu ambacho ulikuwa hujui.
Pili ningekuomba urudie kupitia comments zote kwenye uzi huu ili uelewe satellite [emoji2930] imeingiaje kwenye mjadala.... Tutaelewana tu!.
Satellite haitafuti ndege ndio, Lakini akili iliyotumika kuiweka angani hata kama ni Junk kama ulivyokariri siku nzima ndiyo inayoweza kutumika kubaini kilichoko kwenye ardhi.Mzee umeingia mkenge. Pale Rwanda hakuna satellite ya kufanya lolote la maana, hata Ghana wanayo ila hizi ni junks uko space. Hawana systems kama Galilleo, GPS, Beidou au GLONAS wanatujazia takataka uko juu ili nao waonekane wamo. Na kingine hakuna satellite inatafuta ndege zilizopotea, acha ushamba.
Ewaah sasa akili zimekukaa na tunaongea lugha moja. Rwanda hawana satellite ya kutafuta ndege iliyopotea kama ulivyosema mwanzo. Period!Satellite haitafuti ndege ndio, Lakini akili iliyotumika kuiweka angani hata kama ni Junk kama ulivyokariri siku nzima ndiyo unayoweza kutumika kubaini kilichoko kwenye ardhi.
Nagundua kuwa bado mchanga sana kwenye elimu hii, ingawa unajitahidi kukariri kila kinachoihusu anga bila kuelewa. Uwe na siku njema.
Ewaah sasa akili zimekukaa na tunaongea lugha moja. Rwanda hawana satellite ya kutafuta ndege iliyopotea kama ulivyosema mwanzo. Period!
Si kila satellite ina ona vituRwanda wana satelite angani, kama tuko nao vizuri sasa tusione aibu kuomba huduma yao ili kitendawili cha kupotea ndege hiyo kitenguliwe. [emoji848]
Labda ya Rwanda ni geresha au weather satelliteMzee umeingia mkenge. Pale Rwanda hakuna satellite ya kufanya lolote la maana, hata Ghana wanayo ila hizi ni junks uko space. Hawana systems kama Galilleo, GPS, Beidou au GLONAS wanatujazia takataka uko juu ili nao waonekane wamo. Na kingine hakuna satellite inatafuta ndege zilizopotea, acha ushamba.
Mkuu jukwaa la kimataifa mada kama hizi huwa tunazijadili. Uwe unapitia ukoEndelea kutupa Elimu ya Anga
Hiyo ni ya internet kusaidia data kwa ujumla. Weather satellite ngumu na gharama inahitaji sensors nyingi na makorokoro mengine pale groundLabda ya Rwanda ni geresha au weather satellite
Kwani ile Stevenson box haiwezi kuona ndege iliyopotea?Hiyo ni ya internet kusaidia data kwa ujumla. Weather satellite ngumu na gharama inahitaji sensors nyingi na makorokoro mengine pale ground
I hope unatania. Stevenson box niliisoma primary uko kwenye topic ya weather. Hata milioni moja ni nyingi kuitengeneza hiyo hapo nyumbani kwakoKwani ile Stevenson box haiwezi kuona ndege iliyopotea?
Jamaa tulisoma nae advance pale Milambo High School alichua PGM class of 2009-2011Sijui hamuelewi kuna rubani ni mtanzania mwezetu inabidi tujue yupo wapi na anaendeleaje.?ndio maana ni muhimu kupatikana.
Nakumbuka importance of Stevenson screen moja wapo ni hiyoI hope unatania. Stevenson box niliisoma primary uko kwenye topic ya weather. Hata milioni moja ni nyingi kuitengeneza hiyo hapo nyumbani kwako