Kwamsisi

Hapo kwa msisi kulikuwa na mzee anaitwa mzee hamisi ...mzee alikuwa nyoko mbaya...wakulu walikuwa wanamtumia sana huyu mzee..alikuwa ndio mfalme wa wachawi kwa msisi yote..unaambiwa alivyokufa wanakijiji hawakuamini na walifanya bionge la sherehe....ukoo wao wote ulikuwa wa kichawi hata Dada zake na binti zake wote waliolewa na wachawi..kuna mchawi mmoja anaitwa mungu wa kabili huyu amemumoa mjukuu wake
 
Ni ukoo wetu huo Mimi ni mjukuu
 
Uko tanga nimepavulia kofia Kuna rafiki yangu Kaka yake alioa uko, mke wake alikuwa anaumwa ikabidi aende kumwangalia jamaa aliambiwa na wazazi wa mke wake hasitoke nje wasije kumjalibu week mzima jamaa yuko ndani.
 
Juma kishuka ni marehemu?QUOTE="kallist, post: 17203882, member: 276176"]Mm namjua juma kishuka[/QUOTE]
kishuka
 
Duh, kuna kijiji mpaka treni lilikuwa linapita, wakati mwingine bahari inaonekana na meli kubwa kinoma, maeneo ya Mwanza, ukiwa umechelewa usiku ukapita hicho kijiji hutosahau, yaani mbele unakutana na reli na train inakuja mafuta balaa wakati wa mchana ni vichaka na majaruba ya mpunga tu, na kijito kimepita hayo maeneo, pia wakati mwingine mpaka maghorofa yalikuwa yanaonekana, now watu wanapitaga tu hawaoni chochote, lakini mwanzoni mwa miaka hii ya 2000 ilikuwa balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…