Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Niliwahi kusoma na jamaa zangu wazigua Wa handeni walinipa habari za kwamsisi nasikia ni hatari balaa kwa uchawi aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko handeni tanga ukifika pale mkata kuna Barabara ya kwenda hukoTujuzane wakuu.. Mkoa gan n wilaya gani!?
Acha banaSasa hivi kumechuja
Hapo kwa msisi kulikuwa na mzee anaitwa mzee hamisi ...mzee alikuwa nyoko mbaya...wakulu walikuwa wanamtumia sana huyu mzee..alikuwa ndio mfalme wa wachawi kwa msisi yote..unaambiwa alivyokufa wanakijiji hawakuamini na walifanya bionge la sherehe....ukoo wao wote ulikuwa wa kichawi hata Dada zake na binti zake wote waliolewa na wachawi..kuna mchawi mmoja anaitwa mungu wa kabili huyu amemumoa mjukuu wake
Ulikuwa unamjua mzee hamisi ?Ndio kwetu hapo...ww ni wa hapo?
Ni ukoo wetu huo Mimi ni mjukuuHapo kwa msisi kulikuwa na mzee anaitwa mzee hamisi ...mzee alikuwa nyoko mbaya...wakulu walikuwa wanamtumia sana huyu mzee..alikuwa ndio mfalme wa wachawi kwa msisi yote..unaambiwa alivyokufa wanakijiji hawakuamini na walifanya bionge la sherehe....ukoo wao wote ulikuwa wa kichawi hata Dada zake na binti zake wote waliolewa na wachawi..kuna mchawi mmoja anaitwa mungu wa kabili huyu amemumoa mjukuu wake
mungu wa kabili ni nani yako?Ni ukoo wetu huo Mimi ni mjukuu
Bado yupo hai?Mm namjua juma kishuka
Àisee koma.Ndio kwetu hapo...ww ni wa hapo?