Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Duh, kuna kijiji mpaka treni lilikuwa linapita, wakati mwingine bahari inaonekana na meli kubwa kinoma, maeneo ya Mwanza, ukiwa umechelewa usiku ukapita hicho kijiji hutosahau, yaani mbele unakutana na reli na train inakuja mafuta balaa wakati wa mchana ni vichaka na majaruba ya mpunga tu, na kijito kimepita hayo maeneo, pia wakati mwingine mpaka maghorofa yalikuwa yanaonekana, now watu wanapitaga tu hawaoni chochote, lakini mwanzoni mwa miaka hii ya 2000 ilikuwa balaa.
Duh hii kweli nyoko.