Kwamsisi


Duh hii kweli nyoko.
 
Mtaalam wa ukweli kwamsisi au vijiji vya Jirani ni nani? Wengi wanasema kwamsisi kumechuja. Nina imani bado atakuwepo mtaalam ambaye hajachuja. Tukubali ushirikina na kurogwa kupo. Tusaidiane hapa wakuuu.
 
Mtaalam wa ukweli kwamsisi au vijiji vya Jirani ni nani? Wengi wanasema kwamsisi kumechuja. Nina imani bado atakuwepo mtaalam ambaye hajachuja. Tukubali ushirikina na kurogwa kupo. Tusaidiane hapa wakuuu.
Kwasunga pasikie tu....kwamsisi panasubili..
 
Huko kuna madogo wanajua uchawi kama mtu anavyosifika kwenye mpira akiwa anachipukia....mmmh...
Hahaa unajua unapobatizwa na kumkubali Yesu katika maisha yako either uwe mdogo au mkubwa, unavalishwa vazi jeupe na unaahidi unamkataa shetani na mambo yake yote. Kama hutashiriki katika uchawi, hata ulogwe unadunda, lakini ukianza kusema sijui "jilinde na mimi nitakulinda". Hapa unatia madoa katika vazi na ni rahisi wachawi kukupata.
 
Ninakumbuka tulikwenda home na sister, alikuwa na mtoto mdogo, ikifika saa nane mtoto analia mpaka saa tisa. Kumbe pale ndiyo ulikuwa mkutano wao, ni raha unavyoanza kuwagalagaza na mistari ya Isaiah na Samuel, kesho wakikuona wanaona aibu hata kukuangalia usoni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiku wangu umekuwa mzuri sana,asante mkuu.
 
Hizi hadithi zimewateka wengi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…