Kwamsisi

Mimi siogopagi mambo hayo,nikifika huko lazima niwaonyeshe kuwa mimi sio mtumwa wao.
 
Asee nimecheka atari, kwahiyo ukichelewa imekula kwako,akikuna tako na wewe kuna ,ila zongo halina adabu, nikwetu ila napaogopa asee

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Mshana mimi nimefika machala ipo kata ya miono huko napo wapo njema sana unapajua
 
Simba mtoto yupo tanga mjini mkuu handeni kuna hajees

Zamani ilikuwa inaenda Handeni kwa miaka mingi sana. Saingine Handeni Arusha n.k
So jina geni kwa jamii ya Handeni.
Hata sasa zipo Basi ndogo DCM sa Simba mtoto zinaenda Handeni Tanga mjini, Tuliani Mziha, Kilindi Songe n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…