Kwamsisi

Kwamsisi

Nakumbuka tulikuwa tunakunywa ndani ya kibanda barabarani kuna mtu alikuwa anapita alipiga mweleka wa kufa mtu halafu kwa pembeni mtoto mmoja akawa anamwambia mwenzie si nilikuambia hii kiboko aliyonipa bibi, sikuwaelewa muuza chai akasema tuwe na adabu hata kwa kitoto kidogo akiwa na maana huyo mtoto alipewa kitu kipya na bibi yake sasa alikifanyia majaribio kwa kumwangusha yule mpita njia
Mimi siogopagi mambo hayo,nikifika huko lazima niwaonyeshe kuwa mimi sio mtumwa wao.
 
Huko cha kwanza niliambiwa ukimuona mtu akuangalia sana hilo ni zongo. Sasa dawa yake akikuna ziwa nawe kuna, akikuna nywele nawe kuna mda huo huo akikuna paja Fanya hivyo Ukichelewa tuu imekula kwako....huko ni kuishi kwa machale mwanzo mwisho...nashukuru mungu nimerudi salama
Asee nimecheka atari, kwahiyo ukichelewa imekula kwako,akikuna tako na wewe kuna ,ila zongo halina adabu, nikwetu ila napaogopa asee

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Much respect hapa mahali...paone hivyo hivyo na vijumba vyake hivyo...Gambosh cha mtoto...wazee wa vilinge watanielewa vema...hapo ni international airport backup yake na control tower viko msata[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
Mshana mimi nimefika machala ipo kata ya miono huko napo wapo njema sana unapajua
 
Simba mtoto yupo tanga mjini mkuu handeni kuna hajees

Zamani ilikuwa inaenda Handeni kwa miaka mingi sana. Saingine Handeni Arusha n.k
So jina geni kwa jamii ya Handeni.
Hata sasa zipo Basi ndogo DCM sa Simba mtoto zinaenda Handeni Tanga mjini, Tuliani Mziha, Kilindi Songe n.k
 
Back
Top Bottom