Kwakweli sielewi hiki kipengele kinachozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani kina Nia njema ipi.
Yani katika mazingira ya Tanzania ya Sasa yenye uvunjifu wa sheria zote pamoja na haki za binadamu bado kipengele kama hiki tukione kina nia njema kweli? Nitakuwa was mwisho kuamini .
Vyama vya upinzani kama mtakubali kuingia kwenye uchaguzi mkuu na sheria kama hii nawapa pole.
Kumbukeni ile kauli nikupe gari mshahara walinzi halafu umtangaze mpinzani..!!!!!!