Uchaguzi 2020 Kwanamna uchaguzi wa serikali za mitaa ulivyoendeshwa je ni halali kuendelea na katiba inayozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani?

Uchaguzi 2020 Kwanamna uchaguzi wa serikali za mitaa ulivyoendeshwa je ni halali kuendelea na katiba inayozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwakweli sielewi hiki kipengele kinachozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani kina Nia njema ipi.

Yani katika mazingira ya Tanzania ya Sasa yenye uvunjifu wa sheria zote pamoja na haki za binadamu bado kipengele kama hiki tukione kina nia njema kweli? Nitakuwa was mwisho kuamini .

Vyama vya upinzani kama mtakubali kuingia kwenye uchaguzi mkuu na sheria kama hii nawapa pole.

Kumbukeni ile kauli nikupe gari mshahara walinzi halafu umtangaze mpinzani..!!!!!!

Nadhani mnaelewa Nini namaanisha .

Nawatakiwa ushindi Simba dhidi ya mtibwa !!
 
Hakuna haja ya kuendelea kuwa na katiba inayo halalisha wizi wa kura.
 
Ndio, tutapoteza muda na mali kurudia uchaguzi wakati ataetangazwa ni yule yule.

Rejea Kenyatta na Odinga uchaguzi uliopita.

Kama umeshinda umeshinda tu hata uchaguzi urudiwe mara ngapi utatangazwa mshindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I akili yako imeishia hapa au umebakiza ya nyongeza
 
Kwakweli sielewi hiki kipengele kinachozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani kina Nia njema ipi.
Si mlipewa nafasi kwenye katiba pendekezwa mmeitupa
Kwa sasa mambo ya katiba sijui tume si kipaumbele,labda 2025
 
Back
Top Bottom