GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwesi Appiah ni....
1. Mwafrika Mwenzetu
2. Siyo Mgeni kwa Mambo yetu yale ya Uswahili ( Utamaduni )
3. Mafanikio yake yangekuwa ni Ushawishi wa Moja kwa Moja kwa Waxhezaji wa Simba SC
4. Angejikita zaidi katika Soka la Nguvu la Ghana kuliko la Unyoro nyoro ( Lege Lege ) la Wareno
5. Angekuwa ni mwepesi kuendana na Tamaduni zetu kwani Watanzania hatupishani kivile na Ghana
6. Angetusaidia hata katika Kuwakuza vyema Vijana ambako ndiko amebobea na amepatia Mafanikio pia
7. Asingetukamua Pesa nyingi kama ambayo huyu Mzungu nasikia ametukama hadi Kusinya Kandarasi yake
Nilichogundua GENTAMYCINE ni kwamba tulikuwa hatutafuti Kocha bali tulikuwa tunamtafuta Mtu tu kutoka Ulaya ili 'Kuwakoga' Watani zetu Yanga SC kwani hata hawa Yanga SC ambao 'Wametuhenyesha' mwaka huu na nimeshatabiri kuwa wataenda 'Kutuhenyesha' tena Msimu ujao Mafanikio yao yameletwa na Kocha kutoka hapa hapa Afrika nchini Tunisia.
Huu Uzi wangu ukikukwaza tafuta upesi Sumu ya 'Panya' au ya 'Nzige' popote ikorogee katika Kikombe inywe kisha Ufe tu.