Kwangu Mimi Mghana Kwesi Appiah ndiyo alikuwa sahihi kuwa Kocha Mpya wa Simba SC kuliko huyu Mzungu wenu ambaye najua hatodumu

Popoma umebwabwaja tu hapa,
Sasa huyo mghana muajiri wewe ili aende kuifundisha familia yako huo uchawi unaouabudu,simba sc imemuajili mzungu sababu wanataka kucheza soka sio uchawi....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu uko sahihi soka la africa linahitaji sana makocha wa humu humu ndani africa wa nje hawana inshu natabiri huyu mzee hamalizi msimu
Kocha gani mzawa ameifikisha Simba robo fainal
 
Kocha gani mzawa ameifikisha Simba robo fainal
Abdallah King Kibaden mwaka 1993 kama Mzawa hakuifikisha Simba SC Fainali ya Shirikisho? Je, Shirikisho siyo Kombe Kubwa, la Heshima na lenye Utajiri pia?

Mkijijua hamna Akili na Kumbukumbu msiwe mnachangia Mada za Akili Kubwa hapa JamiiForums sawa?
 
Hata mimi nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa,Kwasi angetufaa sana,sijui kwanini tuna shobokea sana wahuni wa kizungu
 
Umeulizwa kocha we unahara vitu vingine, aiseeh[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…