Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
Hata Shoga ?Mimi naamini mtu mwenye hela ana kitu ambacho mtu asiye na hela bado hajakipata. Unaweza kuwa na elimu kubwa, vyeti, IQ kubwa na kuzungumza mambo ya maana, lakini kama huwezi kutumia akili yako kutatua matatizo na kujenga maisha bora, kuna sehemu unahitaji kujitathmini.
Pesa zinahitaji maamuzi, nidhamu, kutambua fursa, kuvumilia changamoto na kujua namna ya kutumia rasilimali ulizonazo.
Ndiyo maana kwangu, mafanikio ya kifedha ni moja ya viashiria vya uwezo wa mtu kufikiri na kutenda kwa matokeo.
Najua mtasema kuna matajiri waliozaliwa kwenye familia zenye pesa, wengine walirithi, na kuna watu wenye akili kubwa lakini hawana fursa. Nakubali, mazingira yana nafasi yake.
Lakini swali langu ni hili: Kama una akili, lakini kwa miaka mingi huwezi kuitumia kuboresha hali yako ya kifedha, je, hiyo akili inakusaidia nini kwenye maisha halisi?
Tujadiliane bila kuogopana! 🔥
ok.Mimi naamini mtu mwenye hela ana kitu ambacho mtu asiye na hela bado hajakipata. Unaweza kuwa na elimu kubwa, vyeti, IQ kubwa na kuzungumza mambo ya maana, lakini kama huwezi kutumia akili yako kutatua matatizo na kujenga maisha bora, kuna sehemu unahitaji kujitathmini.
Pesa zinahitaji maamuzi, nidhamu, kutambua fursa, kuvumilia changamoto na kujua namna ya kutumia rasilimali ulizonazo.
Ndiyo maana kwangu, mafanikio ya kifedha ni moja ya viashiria vya uwezo wa mtu kufikiri na kutenda kwa matokeo.
Najua mtasema kuna matajiri waliozaliwa kwenye familia zenye pesa, wengine walirithi, na kuna watu wenye akili kubwa lakini hawana fursa. Nakubali, mazingira yana nafasi yake.
Lakini swali langu ni hili: Kama una akili, lakini kwa miaka mingi huwezi kuitumia kuboresha hali yako ya kifedha, je, hiyo akili inakusaidia nini kwenye maisha halisi?
Tujadiliane bila kuogopana! 🔥
Kwa hiyo Ndugu wale maprofesa wanaoshinda mahospitalini na kutumia muda wa maisha yao yoote kuokoa Uhai wa Watu wenye shida za maladhi na hawana pesa wale kwako hawana akili?Ndiyo maana kwangu, mafanikio ya kifedha ni moja ya viashiria vya uwezo wa mtu kufikiri na kutenda kwa matokeo.
Kwanza ukishawaza hivi Tu moja Kwa moja huna akiliMimi naamini mtu mwenye hela ana kitu ambacho mtu asiye na hela bado hajakipata. Unaweza kuwa na elimu kubwa, vyeti, IQ kubwa na kuzungumza mambo ya maana, lakini kama huwezi kutumia akili yako kutatua matatizo na kujenga maisha bora, kuna sehemu unahitaji kujitathmini.
Pesa zinahitaji maamuzi, nidhamu, kutambua fursa, kuvumilia changamoto na kujua namna ya kutumia rasilimali ulizonazo.
Ndiyo maana kwangu, mafanikio ya kifedha ni moja ya viashiria vya uwezo wa mtu kufikiri na kutenda kwa matokeo.
Najua mtasema kuna matajiri waliozaliwa kwenye familia zenye pesa, wengine walirithi, na kuna watu wenye akili kubwa lakini hawana fursa. Nakubali, mazingira yana nafasi yake.
Lakini swali langu ni hili: Kama una akili, lakini kwa miaka mingi huwezi kuitumia kuboresha hali yako ya kifedha, je, hiyo akili inakusaidia nini kwenye maisha halisi?
Tujadiliane bila kuogopana! 🔥
Akili na kupata pesa kwa maisha ya Bongo ni vitu viwili tofauti.
Bongo unahitaji mtu mmoja tu wa kukushika mkono na kukuweka kwenye connection basi na maisha yako yanabadirika siku hiyohiyo.
Kwako wewe akili ni nini ??
msikilize huyu muuza ngono , ana hela , lakini msikilize na utafakari
View: https://www.youtube.com/shorts/Rpeh7dNtobY
Hata Shoga mwenye pesa kwako ana akili ?Uwezo wa kufanya vitu sahh
Hata Shoga ?